Search results

  1. F

    Dstv ya BURE kupitia Vodacom!

    nimejaribu kutumia dstv mobile ila nimekatwa kiasi kikubwa cha hela, nilipouliza customer care wakasema ni free kwa vile hutakiwi kulipa malipo ya mwezi au subscription fees, ila gharama nyingne zinakuwapo
  2. F

    Dstv free vodacom!

    free kwa vile hakuna monthly payment ya dstv ila charge nyingine zinaapply, nimejaribu kutumia ila hela yangu yote ikaisha kwenye simu na mda niloangalia ni mfupi sana.
  3. F

    DSTV Mobile & Vodacom 3G inafanyaje kazi?

    fungua wap.vodacom.co.tz then kuna icon ya dstv mobile icon, select na fuata maelekezo ni rahisi na yanaeleweka, utatakiwa kusign up baada ya hapo utaweza kuona channel zote, chagua channel unayotaka kuangalia kwa kubonyeza watch now, yanakuja maelezo kuomba kuconnect kwenye server bonyeza...
  4. F

    DSTV Mobile & Vodacom 3G inafanyaje kazi?

    helo ukiwa na simu ya 3g unaweza kutumia huduma hii, kulingana na maelezo ya vodacom wanasema huduma hii ni free (all data free) wanasema no charge apply when using dstv mobile, nilipojaribu kuangalia ilitakiwa kusajili kwanza baada ya hapo ikaja list ya channel then nikachagua channel nilotaka...
Back
Top Bottom