Bajaj imekosoka dereva,aliyekuwa nayo kapata gari ...Sasa inauzwa ipo kigamboni kibugumo...0685 779278 bei tutaelewana tu...imefanyiwa service kabisa inasubiria mteja..Ina full vibari...kadi original ipo....piga simu au tuma massage....
Nicheki 0685 779278.....bei 6.5M njoo tuzungumzee...ipo kigamboni kibugumo...haina dereva ndo maana inauzwa..Ina kila kitu ni kuwasha na kusepa...imefanyiwa mpaka service
Kiwanja ukubwa square metres 690,Kina hati ya serikali
Nyumba:Ina vyumba* 3 vya kulala,kimoja master,kuna public toilet,dinnig,sebule na jiko.
Bei: 48M maongezi kidogo yapo
Kuna sehemu kubwa kwa ajili ya parking na mabanda ya kufugia,bwawa la maji etc.
Mawasiliano: 0714 345432/ 0755...
...viti ni vipya, hapo kwa picha ni vumbi vumbi...vimetumika kidogo sana...hakuna bei hiyo chief...tumia simu ziko hapo kama huko seriously na hivyo viti...!
Wadau,kiwanja changu mwenyewe nakiuza kina square metres 595,bei 13.5M (maongezi kidogo yapo) ..kimepimwa na risiti ya malipo ya awali (advance payment ) ipo...eneo tambalale na ni metres 80-90 kufika barabara kuu..! kuna miembe 6 na kuna nyumba watu wanaishi...umeme na maji vyote vipo karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.