Search results

  1. Z

    Ni aibu kubwa kuwa ombaomba huku tukigawa mali kama njugu!!

    Sam: uamuzi ni wako kuendelea kushikilia msimamo wako juu ya uuzaji/ubinafsishaji wa mali ya umma na ushiriki wa wataalamu wa kitanzania katika kuwasaidia 'wawekezaji' kutumaliza, si kazi yangu wala siko hapa kushawishi watu waachane na misimamo yao. But I am not granting you this argument...
  2. Z

    Ni aibu kubwa kuwa ombaomba huku tukigawa mali kama njugu!!

    Kwanza niombe radhi kuwa matamshi yangu machache hapo juu yamechangia kuufanya mjadala huu uwe wa kumjadili mtu binafsi (mheshimiwa mbunge na mwanasheria 'mahiri' na mwandamizi toka kule Mara) na sio hoja ya msingi. Hiyo haikuwa nia yangu hata kidogo. Nilitaka tu kuchangia mjadala huu kwa kusema...
  3. Z

    Ni aibu kubwa kuwa ombaomba huku tukigawa mali kama njugu!!

    Mzee Es hajakosea hata kidogo hapo juu kuwa huyu Big shot lawyer (wa Bongo) "anapaswa kuwa mtu wa mwisho duniani kuongelea mambo ya wizi, huyu ambaye kila siku anafanya mipango ya ujanja kupewa tenda za serikali za sheria na kui-over charge serikali kwa kugawana na mawaziri leo anaweza...
Back
Top Bottom