Search results

  1. M

    Uchaguzi mdogo jimbo la kalenga

    Wananchi wa jimbo la kalenga tunawatakia lalasalama katika uchuaguzi mnaotarajia kufanya mwishioni mwa wiki hii. Lakini maombi yetu kwenu ni kuchagua mbunge bora na si mbunge mzigo kwa manufaa ya maendeleo ya watu wa kalenga na tanzania kwa ujumla.
Back
Top Bottom