Search results

  1. H

    Msaada kwa mwenye video hizi................

    Naomba mnisaidie kupata video za tamthiliya hizi hapa: Kiswahili: 1. Orodha 2.ngoswe penzi kitovu cha uzembe 3. Kilio chetu kiingereza. 1. This time tomorrow 2the black hermit 3. Three suitors one husband naomba msaada wa sehemu zinakopatikana,
  2. H

    Tamthiliya za o-level (videos clips)

    Naomba msaada wenu wadau naweza kuzipata wap cd za video za tamthiliya za kiingereza na kiswahil kwa o-level ? kwa list hii hapa: za kiingereza: 1. This Time Tomorrow 2. The Black Hermit. 3. Three Suitors One Husband Za Kiswahil: 1. Ngoswe: Penzi Kitovu cha Uzembe 2. Orodha 3. Kilio chetu...
  3. H

    Tuition fees UDOM

    Je, kama hujalipa kias unachotakiwa kulipa kwa ajil ya tuition fee unaweza kuwa registrated na mwisho wa kulipa n muda gan? Mwenye uelewa na hil.
  4. H

    Programs zenye uwezo wa kujiajir.

    Wadau kwa mtu aliesoma hgk/hgl na kuscore dvn 1/2 ni programs gan university anaweza soma na kuwa na uwezo wa kujiajir mwenyewe panapotokea kuchelewa kuajiriwa?
  5. H

    kwa hali hii UDOM kunaendeka?

    Wadau inawezekana kusoma programme ya PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT pale UDOM kwa matokeo ya dv2 ya pnt 8: g/s-C, Hist-B+, geog-B, Kisw-B. ? Msaada tafadhar
  6. H

    Chuo gani kinatoa kozi ya Project Planning Management and Community Development

    Wana jf ndugu yangu kamaliza f6 mwaka jana HGK kapata 2 ya 12 ila anataka kuapply chuo kitivo cha PROJECT PLANNING MANAGEMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT. Je chuo gan wana offer hyo facult, na anastahili?
Back
Top Bottom