Search results

  1. D

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    Ukimfunga uganda umfunge kwa Magoli mengi huku ukiomba Lesotho afungwe au atoe Draw na Cape verde. Kwasababu Lesotho akimfunga Cape verde atafikisha point 8 na sisi tukimfunga Uganda tutakuwa na point 8 hivyo mshindi atakuwa mwenye magoli mengi ambapo Lesotho wana hiyo advantage kwa sasa. Pia...
  2. D

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    Jitu linapiga faulo straight anampasia mchezaji wa Lesotho dah tuna safari ndefu sana
  3. D

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    Mpira ni Dakika Tisini usije kushangaa hao Mabeki wakapindua Matokeo:p:p:D
  4. D

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    60’ Mins Sub Tanzania | Gadiel Kamagi OUT Yahya Ramadhani IN
  5. D

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    Biashara asubuhi. Hii game walitakiwa Lesotho wakimbizwe Mwanzo mwisho hawa ilikuwa tuwapige si chini ya goli mbili then ndio aingize hao Mabeki Wake.
  6. D

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    Manula kama kawaida yake na technique zake za kijinga kupoteza muda. We need to be serious draw wanaona sawa ila kwa sisi watanzania ni kama mkosi hawajui hawa wapuuzi
  7. D

    Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

    Abdullah kheri Sebo ni Mchezaji wa Azam nafasi ya Beki na Ally Mtoni Sonso ni Mchezaji wa Lipuli FC nae ni Beki
Back
Top Bottom