Search results

  1. B

    Elections 2010 Can REDET poll claims be trusted?

    Opinion Poll ni opinion poll. Njia pekee ya kupinga opinion poll ni kufanya another poll. Kulalama humu hakusaidii. Redet wanafanya polls miaka yote na lawama ni hizi hizi. Utasikia watu wanalalamikia sampling wakata maisha yao hawajawahi kufanya polling. Marekani yenye watu 200m plus wana...
  2. B

    Elections 2010 Kikwete na CCM kushinda kwa kishindo - REDET

    Opinion Poll ni opinion poll. Njia pekee ya kupinga opinion poll ni kufanya another poll. Kulalama humu hakusaidii. Redet wanafanya polls miaka yote na lawama ni hizi hizi. Utasikia watu wanalalamikia sampling wakata maisha yao hawajawahi kufanya polling. Marekani yenye watu 200m plus wana...
  3. B

    Uchaguzi 2010: Zitto, Mbatia wajitosa Ubunge!

    Kwa hiyo gazeti la Uwazi likitoa katuni unaiamini. Watanzania bwana
  4. B

    Mama Zitto Kabwe amkampenia JK

    mimi sikujui na hivyo hatuwezi kuwa close. Labda wewe unanijua. Sina hata interest ya kukujua na ndio maana ya privacy hapa. Wanaotaka kujulikana na kuwajuwa wengine wanaweka majina yaa halisi nk.
  5. B

    Mama Zitto Kabwe amkampenia JK

    ah kumbe wewe chadema sikujua. mimi unanitetea? huwa naonewa? Ninaamini una maanisha mtu mwingine au umechanganya madesa
  6. B

    Mama Zitto Kabwe amkampenia JK

    umeamua kumjibia. Nzuri sana hiyo. Inakuweka pazuri. Hata kina Zitto walikuwa wanamjibia sana. Kashfa ya NSSF, wangwe nk. Hautakuwa wa kwanza.
  7. B

    Mama Zitto Kabwe amkampenia JK

    Naona Tanzania Daima peke yao ndio walikuwa katika huo mkutano wa mama Zitto! Watanzania tuwe macho sana na kulishwa kasa! Fuatilieni habari za Tanzania Daima zinazomhusu Zitto toka alipogombea na Mbowe uenyekiti.
  8. B

    Hisa za Barrick: Zitto, Bomani wapingana

    Buy Barrick shares in public trust, government advised By Rosemary Mirondo 1st March 2010 Email Print Comments Barrick The Tanzania government has been advised to buy, in public trust, shares of the African Barrick Gold scheduled to be sold later this month at...
  9. B

    Hisa za Barrick: Zitto, Bomani wapingana

    Maoni ya Zitto yamo humu! Tanzanias can buy Barrick shares-BoT BoT governor Professor Benno Ndulu , says in his letter announcing the move that the requirements were meant to ensure that the investment opportunity is not abused.By Peter Nyanje Tanzanians will be allowed to buy African...
  10. B

    Hisa za Barrick: Zitto, Bomani wapingana

    Tanzania Daima ndio wanasema Zitto na Bomani wametofautiana. Lakini kimsingi ukisoma hiyo habari hakuna tofauti hapo. Zitto hajasema hisa za bure basi na Bomani hajasema hisa za kuuzwa hapana. Kamati yao ilipendekeza hisa za bure na za kuorodheshwa katika soko la hisa. Barrick wameanza na za...
  11. B

    Sitta: Nipo tayari kwa hukumu yoyote CCM

    Kuna busara katika maneno ya Sitta. ni maneno ya mtu mzima. Kakiri uhasama ulikuwapo na wanaondoa uhasama. Lakini imani ya kupambana na Ufisadi haitoki.
  12. B

    Ukiwa Rais kila siku unapaswa kuzungumza na nani?

    Kama Rais wa Marekani watu wake walipouwawa na Magaidi au watoto wa shule wanavyoenda na Bunduki na kuua wenzake. Anapaswa kuwasiliana na nani kila siku?
  13. B

    Ukiwa Rais kila siku unapaswa kuzungumza na nani?

    Kila siku Rais anapata 'briefing' ya usalama wa Taifa. Ndio Chai yake hata awe wapi.
  14. B

    Mke wa Dk Slaa apata dhamana

    Mimi nadhani hakuna ubaya wowote kwa mke wa Katibu wa CHADEMA kuwa Diwani wa CCM na hata kuwa Mbunge wa CCM. Marehemu Chacha Wangwe alipokasirishwa na CHADEMA walipomwambia anatoa siri za chama chao, akawauliza kati ya yeye na Slaa nani anatoa siri. kwani yeye makamu Mwenyekiti akimpigia simu...
  15. B

    Kuzuia ya Somalia, Rwanda na Sudan Yasitokee Tanzania

    Kesi ya Rwanda, Somalia nk hailingani na Tanzania Kompanero! Ukilinganisha Ivory Coast na Tanzania nitakukubalia. Huko ndiko tunakoelekea kama hatutokuwa makini. We are more disunited than ever before. We are more suspicious than ever before. Cracks are widening and we tend not to know. That the...
  16. B

    Tamko la Wapiganaji CCM Feb 10, 2010

    Wewe ndio umeruhusu itoke? Maana naona imetolewa na Enigma. Hii inaitwa DIVORCE PAPER Kwa style ya uandishi na hata nukuu hii kitu ni ya kutoka kwa wenyewe kabisa. Sasa kama ni mtu mmoja au kakundi miongoni mwao ni lingine. Hii ikiwekwa vizuri ni Ilani tosha ya uchaguzi. Sasa wameweza...
  17. B

    Mheshimiwa Zitto Kabwe

    Very very interesting. Wenzio wamemchoka Zitto. Wewe huchoki?
  18. B

    Wabunge wetu na masilahi ya taifa!

    Hawawezi kujinyonga. Wote wa CCM na Upinzani wanapinga muswada huu kwa sababu za kijinga kabisa. Eti kuweka wazi vyanzo vya mapato wachangiaji wao watajulikana. Hawataki kuwasema wachangiaji wao ili watumie fedha chafu na kuuza uhuru wa nchi. Kipengele cha kutaja wachangiaji na viwango ndio...
  19. B

    Makampuni ya Simu za mkono na DSE

    Forced listing is doing a right thing in a wrong way. You create incentives to list and not forcing an individual to sell his property. The right to own property is protected by constitution. By the way what listing? It is simply raising money from the bourse. So want these people to raise...
  20. B

    Sultani Jamsheed hakukana kiti cha Usultani wa Zanzibar

    Pasco, Jambo moja tu muhimu sana. Afrika ni Moja. Unaposema kule North America ni waafrika wa West Africa na sio babu zetu unakosea. Afrika ni moja na hiyo mipaka unayosema ni ya kikoloni. Waafrika wa Ghana, Liberia, Sierra Leone, Senegal etc waliopelekewa utumwani ni BABU ZETU. Waafrika...
Back
Top Bottom