Search results

  1. S

    Wakuu hii ni kawaida au kuna tatizo?

    kwa mara ya kwanza nimeona kitu kama ute (mucus) baada ya kumaliza kukojoa ukitoka.je ni tatizo au ni kawaida? Shukran.
  2. S

    Je kuna uwezekano wa ku apply hata chuo?

    Naomba mnisaidie wakuu nina rafiki yangu nime hitimu nae kidato cha IV mwaka 2013 ila kwa bahati mbaya hajapata ufaulu wa kuridhisha.matokeo yake haya apa kisw~B eng~C Civ~D Bio~D Geo~D Chem~E Hist~E B/math~F Phis~F Naomba ushauri wenu wakuu kama kuna uwezekano wa kuapply chuo cha...
  3. S

    Nina sumbuliwa na tumbo kwa mda mrefu sana

    Salaam. Ndugu wana jf naomba msaada wenu tafadhali, kwa muda usiopungua miaka kama mitano nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo mara kwa mara. Nimejaribu kwenda hospital kadhaa lakini nimeambiwa hamna tatizo. Moja ya dalili zisizo za kawaida nazo zipata ni kama vile,kutopata choo vizuri na...
  4. S

    Msaada tafadhali, tatizo la kusahausahau mara kwa mara

    Heshima kwenu wakuu wote humu jamvini. tatizo langu ni kwamba,nina mdogo wangu yuko kidato cha tatu.na maendeleo yake sio mazuri kiukwel ukilinganisha na alipokuw kidato cha kwanza.siku hizi akifundishwa anasahau mara kwa mara hata kama ni muda huohuo.tafadhal naomba msaada juu ya hili...
  5. S

    Msaada please mwili kukosa nguvu

    JamanI habari za leo. Ijapokuwa ni mgeni humu jukwaani lakini naombeni msaada katika hili. katika kipindi cha miaze kama mitatu hivi mwili wangu unakosa nguvu kwa kiasi kikubwa sana hasa miguuni.sijui hili tatizo latokana na nini wataalamu wangu. Nifanye nini kukabiliana na hili tatizo...
Back
Top Bottom