Search results

  1. C

    Uchaguzi 2020 Walinzi wa karibu wa Mbowe wajiunga CCM, mmoja awa mgombea Udiwani

    Ni kweli kura za huruma wala wizi hautakuwepo mwaka huu. Vipi huyo mlinzi atakuja kuwafundisha wizi, hajui kuwa wizi mmejifunza kwa shetani mwenyewe.
  2. C

    Uchaguzi 2020 Walinzi wa karibu wa Mbowe wajiunga CCM, mmoja awa mgombea Udiwani

    MsemajiUkweli, Hata mimi mlinzi wangu sasa hivi ameajiriwa na mtu mwingine na maisha yanaendelea. Kama Lowassa ametoka CDM na bado moto ni ule ule ndio itakuwa body guard?
  3. C

    Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Jibu swali mbona jamaa yako haheshimu sheria za nchi? Stay tuned, this time you will face the music maana hata Saddam alijua yeye ni mungu mtu lakini sasa hivi anapatikana kuzimu akiwa hoi.
  4. C

    Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Mbona kiongozi wako anavunja kila siku na hapati kibano. This is a banana republic, it does not respect its own laws. Na safari hii wanakula sahani moja na nyie, na wameshaanza, stay tuned.
  5. C

    Askofu Gwajima asema yeye na Abbas Tarimba ni mapacha, amkaribisha kanisani kwake na kumpigia kampeni

    Hata Abbas ni muislamu tu, maneno ya kashfa ya Gwajima hayafutiki
  6. C

    Pale Amsterdam Lawyers watakaposhawishi jumuiya za Kimataifa kufanya uchunguzi wa kupotea Ben Saanane, Azory, Kanguye, kupigwa risasi Lissu na MKIRU

    Wanasema " we will pursue every avenue" kuhakikisha kuwa Tanzania inafuata sheria za nchi na sio decree.
  7. C

    Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

    Waliofunga account watakuwa wanajua zinatoka wapi, cha muhimu ni kujua ni za nini
  8. C

    Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

    Nini maana ya usaliti, kutoikubali CCM
  9. C

    Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

    Waliozifunga wanaweza kujua zinatoka wapi, hizo ni transactions za kibenki.
  10. C

    Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

    Kwahiyo milioni wakidharauliwa ni sawa tu.
  11. C

    Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

    Kingine ni mabeberu kuona majeraha ya Lissu, nafikiri jambo hilo limewakera beyond repair.
  12. C

    Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

    Kikubwa zaidi bila kuongelea kashfa na maneno yake ni kuwa anaenda bungeni kubariki sera mbovu na za ukandamizaji za CCM, wenye akili wa Kawe hawawezi kuruhusu hilo litokee.
  13. C

    Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge

    Point zote zipo ok lakini ya mwisho haupo sawa. Bado umefungwa na status quo kwamba CCM lazima washinde urais, mie sidhani hivyo. Battle hii ni kati ya dunia inayopenda haki na CCM na sio CHADEMA na CCM.
  14. C

    Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

    Robert Amsterdam anatisha zaidi, baada ya barua yake umeona vurugu tena?
  15. C

    Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

    Hamjui, anakaa porini huko atamjuaje. Huyu ndio yule ambaye wanaCCM walienda kwenye kibanda chake wakiomba kura maana wamenunua ndege
Back
Top Bottom