Search results

  1. B

    Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe

    lowasa,mbowe, lisu,sumaye, kingunge,masha, mungai,na ukawa ni wapumbavu/malofa.
  2. B

    CCM wanaweza kuyasimamia mabadiliko kwa vitendo

    sasa mbona askofu kilaini amempendekeza magufuli .
  3. B

    Slaa amerejea nchini

    kila mzalendo na wrote wenye mapenzi mema wameamka na wanapigana kumnusuru mama yetu kipenzi,Tanzania, asiangukie mikononi mwa mwizi, mcumia tumbo na fisadi papa lowasa. lowasa atasubili sana. atamtoa wapi baba was taiga amnenee radhi..haiwezekani. bado siku 24 lowasa atambuwe kuwa maneno ya...
  4. B

    Slaa amerejea nchini

    kila mzalendo ameamka. anapambana kuzuia jaribio LA mwanaharamu, mwizi, fisadi, na mchumia tumbo kuingia ikulu. fisadi no malaika was shetan
  5. B

    Slaa amerejea nchini

    waache misukule ya mbowe haitakuelewa kwa sasa. mipumbavu na milofa ya fikra
  6. B

    CCM sikio la kufa, pamoja na tuhuma hizi; huyu ndiye ataongoza Kamati ya Nishati na Madini

    Moods are extremely not sereous. You are judging a book by looking its cover rather than the cotents. Shame on you.
  7. B

    CCM sikio la kufa, pamoja na tuhuma hizi; huyu ndiye ataongoza Kamati ya Nishati na Madini

    Ccm haiwezi kupona tena! Ccm iko taabani na itakata roho october 25. Ccm imewakosea watanzania wote: Wanahabari, wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wastaafu, wafanyabiashara, wanafunzi, waalimu, machinga,na mamantilie wamesalitiwa, wamedhulumiwa haki zao za msingi na kupuuzwa na serikali ya...
  8. B

    Makongoro atoa shukrani kwa maprofesa na wanafunzi UDSM kwa udhamini wao kwake

    lakini ww shemeji cku ile ulisema kuwa unapenda na utafanyaje ili uzalishwe na m2 yeyote wa ukoo wa teacha ili upeleke mbegu ya ma grit thinka kwenu? Mshukuru sana ndg yetu kwa kupga kimya kama kweli azma yako ile ilitimia kwan wenzako huwa hawabahatiki.
  9. B

    Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    Nitawashawishi wenye ndoa wote ( wanaume wanaowapenda wake zao na wanawake wanaowapenda waume zao) wamkatae benard membe kwa kura kuanzia nec, ccm na nje ya nec, na ccm. Membe hutufai na aliyekutuma hatufai watanzania.
  10. B

    Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    "nitahakikisha natoa mikopo kwa akina mama ili waachike na kuijitegemea" (membe, 2015-06-07, 13:14). Membe ametumwa na nani?
  11. B

    Aibu: CCM wawakataza watangaza nia kufanya midahalo popote pale nchini

    great thinker ever seen kule 'site'. Ha ha ha ha
  12. B

    Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Mimi nasema huku sio kujiuzulu bali ni sawa na kufukuzwa kazi. Asipokee pensheni kwa kujiuxulu kani amechelewa sana kufanya hivyo. Je wewe unasemaje ktk hili,?
  13. B

    Ujinga na woga vikiisha, utawala mbovu utaisha

    Ndugu wanajf, kinachopelekea tuwe na watawala wabovu wasiozingati misingi ya kidemokrasia (uwajibikaji, utawala wa sheria, n.k.) pamoja na misingi ya haki za binadamu(haki ya kuishi, haki ya kupokea/kutoa maoni/taarifa, n.k.) ni ujinga na woga wa watanzania. Ndiyo. Cku...
  14. B

    CHADEMA Yalaani kufukuzwa Chuoni Waziri Mkuu wa serikali ya wanafunzi Philipo Mwakibinga

    maandamano ya kudai haki cyo kufanya siasa. jitambue kwanza na ndo utatambua haki za hao waandamanaj
  15. B

    Viongozi wa dini hamuyaoni haya muyakemee hadharani?

    mkuu nimekupata vizuri sana ila nina mashaka makubwa kuwa vijana wa lumumba na wazee wa dar es salamu hawajakuelewa kwani mishipa ya tafakuri yao imeathiriwa na ugonjwa wa kufisha wa tezi dume.
  16. B

    Viongozi wa dini hamuyaoni haya muyakemee hadharani?

    hata wao hawajatimiza wajibu wao ipasavyo. Ni mpaka pale watakapoacha kutumika. Wawe huru. Wasiwe watumwa wa ccm /serikali inayoiba, inayouwa, na kufanya kila aina ya dhuluma na ukatili kwa raia.
  17. B

    Viongozi wa dini hamuyaoni haya muyakemee hadharani?

    Ndugu wana JF, salaam na kheri ya mwaka mpya 2015. Napenda kutoa mwito wangu kwa viongozi na waumini wa dini /madhehebu na watanzania kwaujumla kuacha kutetea dhuluma zinazofanywa na serikali ya ccm dhidi ya raia . Naomba viongozi wa dini/madhehebu kuacha kuombea amani inayotoa fursa kwa...
  18. B

    Kafulila afunguka tena, sasa aituhumu Ikulu kuhusika na suala la ESCROW

    Natamani nchi hii mafuriko ya makubwa yaje yawasombe ikulu na ccm wote wabaki ukawa shida zipungue.
  19. B

    Zitto Kabwe: Bila UKAWA CCM haing'oki

    Zito ni mwanasiasa anayejua kusimama na hoja thinkers wakakubali. Ni hayo tu. Asanteni.
Back
Top Bottom