Search results

  1. N

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Nambari one eheee eheeee, Nambari one ni CCM. rEGARDS Kwaya Master John Komba
  2. N

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Angekua mwanao ungefanyaje? Au hata mtoto wa dada/kaka yako? Ukiwa mzazi unayewajibika lazima utaumia sana. Na hii ndio tabia ya viongozi walio wengi ni bahati mbaya Kapuya amekamatwa lakini tukimchunguza mmojammoja tutapata wengi. Kaharibu maisha ya huyu mtoto ambaye ni yatima kishamuambukiza...
  3. N

    Wapi Prf Kapuya?

    Yuko bize na vibinti Ofisini kwake Maana jamaa hachagui pa kupiga hadi kwenye kapeti yeye anafanya tu Du jamaa ni noma
  4. N

    Rai: Kapuya asamehewe...!

    Mama Makinda,Sophia Simba, kumbukeni muosha huoshwa huyo mtoto sio wa kwenu ila madaraka mliyonayo mlipaswa mseme kitu ila mmenyamaza kimya. Endeleeni hivyohivyo ila Mungu hatonyamaza kamwe
  5. N

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Lol huyu kapuya akiwa bungeni Dodoma ana wasichana kila kona na amezaa nao watoto yaani ni hatari sana kwa maendeleo ya watoto wetu wa kike. Alizaa na dada mmoja huko Dodoma mtoto kamfanana sana Prof Kapuya, halafu anachaguliwa kuwa waziri, siasa ni chafu sana ya hapa kwetu. Na hii ni laana...
Back
Top Bottom