Search results

  1. omusita

    Diwani kata ya Chifufu (CCM) jimbo la Sengerema akamatwa na polisi

    Mheshimiwa Madaha diwani wa kata ya Chifufu CCM na mwenyekiti wa vijana CCM amekamatwa na polisi leo asubuhi hii kwa tuhuma za wizi wa pikipiki za chama umoja Wa vijana wilaya sengerema. Mkuu Wa kituo cha polisi sengerema amethibitisha kukamatwa kwa kiongozi huyo.
  2. omusita

    Mch.Msigwa na Rais Kikwete mnalijua hili katika idara ya misitu.

    Mch. MSIGWA NA RAIS KIKWETE MNALIJUA HILI KATIKA IDARA YA MISITU Selikali ya ccm imekuja na kitu kizuri kwa manufaa ya wtz wote kinaitwa BRN (matokea makubwa sasa)katika idara misitu na nyuki kupitia wakala wa misitu tanzania(TFS) wao wamekuja na hili katika hii idara-(1)wamepandisha bei ya...
Back
Top Bottom