Search results

  1. J

    Dawa ya UTI sugu kwa anayejua

    Msaada wa dawa ya uhakika jamani....naamini nina UTI sugu kwa maana kila ninapokuwa Faragha na wife baada ya muda anahisi kuwashwa na akipina anapatikana na UTI. Kuna wakati mimi napata burning sensation pia ila nikipima hakuna kitu!! Naombeni ushauri pia kwa wabobezi.
  2. J

    Dawa ya reflux ama tatizo la acid nyingi tumboni

    Habari wadau, Nimekuwa na tatizo la reflux kwa muda mrefu na nimetibiwa hospital nyingi bila mafanikio, hivi karibu imekuwa worse kwa kuwa napata sore throat(choking type) na persistence heartburn, anayeweza kusaidia tafadhali kama kuna tiba asili (sio uganga wa jadi) pia nitashukuru.
Back
Top Bottom