Search results

  1. makandomende

    TPDC wameanza kuita watu kazini, kaa karibu na simu yako

    Ameitwa kwa nafasi ya Security Officer
  2. makandomende

    TPDC wameanza kuita watu kazini, kaa karibu na simu yako

    Na mimi pia ni mmoja wao, nimeitwa leo. Hivyo kesho Tunatakiwa kwenda pale Benjamini Mkapa towers posta office za TPDC.
  3. makandomende

    TPDC wameanza kuita watu kazini, kaa karibu na simu yako

    Wadau Jana Ndugu yangu ninayeishi naye amepokea simu ya KUITWA KAZINI TPDC. Na ametakiwa kuripoti kuanzia leo na mwisho ni tarehe 15/09/2014, ni kwa wale waliofanya usahili mwezi wa tano. Hivyo kaa tayari. WANATUMIA SIMU ZAIDI
  4. makandomende

    Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    waliitwa kwa kutumia njia ipi? Tuweke wazi basi?
  5. makandomende

    Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    Hilo nalitambua kuwa wameitwa wa Uhandisi. Nazungumzia wale waliofanya mwezi wa tano sio mwezi wa nane. Na waliofanya mwezi wa tano walikuwa ni kada tofauti tofauti sio biashara pekee. Hao ndio ninaouliza habari zao sio hawa wa mwezi wa nane
  6. makandomende

    Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    Hivi karibuni TPDC wameita wasahiliwa wa mwezi wa nane kazini. Lakini kabla ya hapo kuna usahili wa awali ulifanyika mwezi wa Tano msimbazi center na maeneo mengine. Na usahili ulimalizika kilichokuwa kinasubiriwa ni majibu/kuitwa kazini. Sasa NAPENDA KUULIZA KUNA YEYOTE ALIYEFANYA USAHILI MWEZI...
  7. makandomende

    TPDC wameshaanza kuita watu kazini

    Na kwa wale ambao walifanya interview mwezi wa tano, niliongea na ofisi ya HR akaniambia kuwa muda wowote kuanzia kesho majina yataachiwa hewani (website ya TPDC) na simu hivyo yote yana wezekana
  8. makandomende

    TPDC wameshaanza kuita watu kazini

    Wadau haya ni baadhi ya majina ya walioitwa kazini
  9. makandomende

    TPDC wameshaanza kuita watu kazini

    Wametumia utaratibu gani wa kuwaita? Maana kwenye WEBSITE yao hawaja- POST kuitwa kazini. Thanks
  10. makandomende

    TPDC wameshaanza kuita watu kazini

    Asante kwa taarifa ndugu yangu. Umepata fununu zozote kwa nafasi nyingine ni lini? Au utaratibu wao wa kuita upo vipi? Kama una clues tushirikishe ndugu yangu
  11. makandomende

    Msaada wadau. Mshahara wa tps-2 ni shilingi ngapi za kitanzania???

    Wadau Habari za leo Tafadhali sana naomba anayeweza kuniambia Mshahara wa Afisa/ mtumishi anayefanyia Bandarini yaani Scale ya TPS-2 ni sawa na kiasi gani za Kitanzania?? Nashukuru sana kwa msaada
  12. makandomende

    Msaada jamani....poss 5 ni sawa na mshahara wa tshs ngapi???

    Wadau Naomba kujulishwa. Hivi POSS 5 ni sawa na mshahara wa shilingi ngapi Tanzania?? Asanteni sana kwa msaada wenu
  13. makandomende

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    HIVI NA POSS 4 au 5 NI SAWA NA KIASI GANI MKUU??? tAFADHALI NIJUZE
  14. makandomende

    Ushauri: Niende Wapi

    Kaka naomba nikuambie kitu hapa Kuna watu wanakushauri vema lakini wanaongeza na Bias zao lakini ukweli ni huu: Kwanza nimeona mdau mmoja amekuambia kuwa TPDC wapo lumumba, hapana. Interview mnafanyiwa Ofisi za Mikocheni karibu na ROSE GARDEN (ULIZA BRAJEC) Kwenye makazi ya Watumishi wa TPDC...
  15. makandomende

    Naweza kubadili hizi initials za majina na cheki namba haina shida?

    Huna haja ya kufanya magumashi na vitu visivyo na uhakika. Taratibu za kuhama zipo wazi kutoka wizara moja mpaka nyingine, kinachohamishwa ni payment center, au unaweza kuhama kutoka idara moja mpaka nyingine. Huna haja ya kfanya ujanja ujanja. Andika barua kama itifaki inavyotakiwa na bado...
  16. makandomende

    Kwa wale wanaoomba kazi za kufundisha

    Utasoma katika jukwaa hili kuwa mimi fulani nina shahada ya ualimu (BAED/ BED n.k) nina uzoefu huu..... Lengo langu sio kuwa- frustrate bali ni kutaka kujua kuwa majibu ya maswali haya: 1. Hivi wakati mko vyuoni hamkujaza fomu za kuajiliwa na serikali na kupangiwa vituo vya kazi? 2. Hivi...
  17. makandomende

    Mwenye kujua utaratibu wa kufanya kazi Nigeria

    lazima watakuambia. Mimi wamenitumia karibu mara tatu kwa nyakati tofauti. Mara ya kwanza nilisaini nikatuma kama walivyonielekeza, lakini waktuma tena kuwa nitume kiasi fulani cha dola kama mia 200 au 350 kwaajili ya ku-process visa n.k hivyotegemea, pia usitume hata shilingi ni wezi hao
  18. makandomende

    Tamisemi wametoa list ya waalimu waliokosa nafasi na kuwapangia vituo vya kazi tarehe 23/06/2014

    Wadau kwa wale waliokuwa wanasubiri TAMISEMI iwapangie vituo kwa awamu hii. Hapa chini kuna Tangazo la mwisho wa kuripoti vituoni na orodha ya majina Angalia jina lako kwenye viambatanisho hivi hapa chini:: Mwisho wa kuripoti ni tarehe 30/06/2014
  19. makandomende

    TPDC Interview Update - Tazama namba yako ya Usaili

    hii itakuwa kwa wote ndugu yangu????
  20. makandomende

    TPDC Interview Update - Tazama namba yako ya Usaili

    hii itakuwa kwa wote ndugu yangu????
Back
Top Bottom