Search results

  1. IfNot WhyNot

    Siku ya 4 Dar bila kuliona JUA

    Haharini wana JF Yapata siku ya 4 sasa katika jiji la dar hatujaliona jua likichomoza katika maeneo mbalimbali ya jiji na viunga vyake.!! Dar sasa ni kama Njombe,Iringa au Mbeya, kweli masika imeamua kuidhibu dar kisawasawa. Walioko mabondeni ni muda sahihi wa kuangalia namna ya kuepuka adha...
  2. IfNot WhyNot

    Je, ni lazima unavyosafiri kwa kutumia usafiri wa ndege wa ndani ya nchi (local flights) uwe na kitambulisho cha uraia (NIDA)?

    Habari wana JF, Je, ni kweli pale unapolazimika kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege wa ndani ya nchi (local flights) ni lazima uwe na kitambulisho cha uraia (NIDA) au unaweza kutumia kitambulisho chochote iwe leseni ya udereva au kitambulisho cha kazi?
Back
Top Bottom