Search results

  1. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa mujibu wa Sky Germany kikosi cha bayern kimevuja hiki hapa
  2. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yupo fit ,mechi na Luton aliuwasha sana pale kati, pass after pass za ku break lines
  3. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta: "Hatujaona ubora wa Kai Havertz bado. Katika umri wake, ameanza na sisi, ni msimu wake wa kwanza, anajenga mahusiano hayo ...". "Ana zaidi ya kufanya makubwa, michezo zaidi ijayo, anahitaji kuboresha uwezo wake ... na nina uhakika atajaribu kufanya hivyo".
  4. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji2788]| Gabriel Jesus: “Kuanzia sasa hadi mwisho wa msimu, kila mchezo ni fainali katika mashindano yote mawili, hivyo unapaswa kufikiria kuwa kwa sasa tunacheza fainali tisa. Kwa kweli ni ngumu.”
  5. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji2788]| Thomas Tuchel kuhusu Kai Havertz Kai alifunga moja ya mabao muhimu katika maisha yangu ya ukocha [fainali ya UCL ya Chelsea]. Yeye ni mtu mkubwa. Nimefurahiya kuwa anapata pongezi hapa anazostahili. Tunahitaji kumwangalia. Tuna wachezaji wachache ambao wanamfahamu vyema
  6. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Martine Ordegaard aliulizwa kama huenda wakawa wanamwogopa Harry Kane! Ordegaard [emoji2424] "Tunapaswa kumheshimu Kane, Na sidhani kama mchezaji yoyote ambaye tutakuwa tunamwogopa". Sisi tunapaswa kujiangalia sisi wenyewe na ubora wa timu yetu, Ni hayo tu". [emoji361] Martine Ordegaard
  7. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji837][emoji836]️ Kai Havertz: “Kuthibitisha haters sio sahihi ni sehemu ya mchezo. Siku zote kuna watu ambao hawakupendi au kusema vibaya juu yako." “Niliikubali kwani huwezi kumfurahisha kila mtu. Ninajaribu kujifurahisha mwenyewe na watu ambao ni muhimu kwangu ".
  8. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji2788]| Mikel Arteta: “Kuwa mkamilifu katika soka ni vigumu. Lazima uwe bora kuliko mpinzani kwanza, halafu unapokuwa na wakati lazima uwe mkatili. "Tumekuwa thabiti na kujaribu kuwa bora zaidi kuliko wapinzani wetu hivi karibuni, na lazima tuendelee kufanya mambo mengi
  9. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta akianza hivi itakuwa unyama sana Raya, White, Saliba, Gabriel, Tomi, Partey, Odegaard, Rice, Saka, Havertz, Martinelli
  10. hamis77

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Manjesta bana ,unaongea utadhan una timu basi ya maana Mm siongei mengi ,tupo hapa Naimaliza mechi hapo OT ,half time
  11. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tomiyasu aanze ,ila inaonesha ataanza Kiwior maana hajacheza hizi mechi 2 zilizopita Bayern hatari Yao ipo kwa winger zao kwenye 1v1 Japo zimekuwa butu sana ,Sane , Gnabry,Coman
  12. hamis77

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sawa ,tuombe uzima tu
  13. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mechi ya kwao twende ku relax ,tu
  14. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa nature ya hii kazi ,mm inaniruhusu,boss anachotaka ripot ya daily basi ,
  15. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nimeajiriwa ,sema bosi kaniachia kampuni nipo na mwanangu mmoja ndio tunaiendesha ,bosi anaweza kuja mara moja kwa mwezi ku survey tu
  16. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kweli kaka ,nimejikuta nimeamka saa 2 na nusu , napigiwa simu gari inanisubiri ,nikawaambia wasepe ,
  17. hamis77

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nyie mshakata tamaa au sio, [emoji1787][emoji1787]
  18. hamis77

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man u hiyo mechi yenu vs Arsenal hatuihesabii tutawapiga vzr tu, half time mechi itakuwa imeisha Kwasasa tunawaza kubeba point kwa spurs maana ni derby na Huwa wanakaza sana,
  19. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mm Leo hata kazini sijaenda ,nasubiri baadae Kuna Banda wanaweka mechi zote 2
  20. hamis77

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    According to SPORT BILD la ujerumani ,Vikosi vinatarajiwa kuwa hivi
Back
Top Bottom