Search results

  1. jimama26

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Kwa nini Mh Nchimbi anaonyesha vita ya waziwazi kabisa hivi?! Hii si sawa kiuongozi, inaonyesha udhaifu. Kila wanapopita wanamtupia dongo Makonda. Wakati wao wanatakiwa kukinadi na kukijenga chama!
  2. jimama26

    Tizama hapa namna Jenista Mhagama alivyo na heshima na unyenyekevu wa kiafrika

    Kwa kweli tunavijunia sana Mheshimiwa huyu sisi wakina mama wenzake
  3. jimama26

    Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake

    Huyu mtu ameshangaza wengi sana kwa kutokuwa na adabu! Sijui anajikuta nani mbele ya kiti cha uRais!!
  4. jimama26

    Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

    Hapa Rais wetu nae anatutia mashakani!!
  5. jimama26

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Mwenyezi Mungu azidi kumpa umri mrefu JK wetu [emoji120][emoji120][emoji120]
  6. jimama26

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Wamwache Mkwere wetu. Alifanya kazi iliyotukuka. Huyo rafiki yake hakufaa kuwa Rais wa nchi yetu kabisa.
  7. jimama26

    Kweli Mbowe anapewa nafasi kuongea, ananyimwa Jakaya? Nashauri familia hizi zikae zimalize bifu

    Lowassa hakufaa kuwa Rais wetu hata kwa sekunde. So kwa sisi tuliowengi, tunaona JK alikuwa ni hero wetu kusababisha mtu wenu kutokuwemo kwenye majina 5 yale. Mwisho wa siku uRais anapanga Mungu. Tunamshukuru kwa kutotuletea marehemu kuwa Rais wa nchi.
  8. jimama26

    Lowassa alivyoimbiwa na wajumbe wa CCM 2015

    Ila JK ni mvumilivu sana sana na ana busara za hali ya juu. Kwa kweli anastahili hizo nafasi alizokwisha shika. Yaliyokuwa yanaendelea kipindi hiki, yalikuwa ni mambo ya ajabu na utovu wa nidhamu wa hali ya juu.
  9. jimama26

    ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

    Rais wetu wa 2030 ni huyu kijana mchapakazi na mwenye uthubutu.
  10. jimama26

    Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

    Kwa maisha yetu ya sasa, kufika tu hiyo 70 ni miujiza. Ameishi vya kutosha. Tumshkuru Mungu na kuzidi kumuombea awe salama.
  11. jimama26

    Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

    Miaka 70 bado mdogo?!! Mmh
  12. jimama26

    Paul Makonda amefanikiwa kuiweka CCM katika mioyo na midomo ya Watanzania

    Anafanya kazi iliyotukuka kwa niaba ya Rais wetu, na wananchi tunalijua hilo
  13. jimama26

    Mnyika: Kama tusiposikilizwa kwenye Maandamano yetu ya mikoani tutawaambia Wananchi hatua za kuchukua zitakazofuata!

    Na kwa sasa CCM imewaweza kukubali maandamano, yanakuwa hayana kiki. Hii ni mbaya kwao, wananachi wanakuwa hawajui message yao ya maandamano.
  14. jimama26

    Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Umemsahau Mh Paul Makonda hapo
  15. jimama26

    Hamisi Kigwangalla: Nimeambiwa nafuatiliwa, ila naamini niko salama

    Huyu anatafuta teuzi kwa kila hali. Haamini kuwa kawekwa benchi. Anapiga kelele ili aambiwe ‘njoo bwana tule wote, acha kelele’.
  16. jimama26

    Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Mbunge wetu wa Kawe huyu. Huku Kawe hatutaki kusikia mtu mwingine zaidi ya Mh Makonda.
  17. jimama26

    Mchungaji Lusekelo: Wachagga walipata Uhuru kutoka kwa Ujerumani kabla ya Tanganyika na Walikuwa na Bendera yao!

    Na Mchaga ukimsifia tu basi umemaliza, anatoa sadaka ya kutosha!
  18. jimama26

    Maanadamano yasiyoifanya Katiba Mpya kuwa ni ajenda kuu ni maandamano ya wasaka vyeo

    Mimi nilishawashtukia kitambo sana, janja janja hawa. Bora Mama mara 1000 mia.
Back
Top Bottom