Search results

  1. K

    Elections 2010 Wito wa kukamatwa kwa mnajimu

    Mimi ninavyojua ili uwe mnajimu unahitaji kuwa na kiwango fulani cha utakatifu japo si cha liwango cha malaika. Huyu mnajimu amezaa na vimada mmoja alikuwa mtumishi wa TANCONSULT pale mikocheni walikutana wakati akiwa maskani Nairobi miaka ya 70. Ni wa kumpuuza, hastahili kula bure pale...
  2. K

    Elections 2010 Huu Uchaguzi umesusiwa ??

    ni kweli ndugu zangu, hata mimi niko West Africa jioni hii ilikuwa na wenzangu tukiangalia Al Jazeera, CNN, BBC, SABC, CTVV lakini niliambulia aibu! Unajua leo pia ni uchaguzi mkuu wa Cote d Ivoire huo unatangazwa kila mara na station hizi! Tanzania ziiii umeshindwa kuuza jina la nchi. We...
  3. K

    Elections 2010 Acheni mbwa wavae tisheti za CCM

    Hivi hao CCM kama wangetengeneza unifomu za shule na kugawa mbwa angevalishwa? Hawajui hata namna ya kampeni. Wao wanataka watu wavae picha la chizi au mtu wanayedhani amewasababishia matatizo kifuani? Kama ingekuwa fulana yenye picha ya Slaa au Maalim Seif akapewa mshabiki wa CCM ingepokelewa...
  4. K

    Elections 2010 Vituko: Tisheti za Kikwete avishwa mbwa

    Watakoma kuandaa mitisheti huku watu wana taabu kibao! Wala sio suala la uisilamu wa Kikwete! Matusi ya kujitakia wenyewe CCM
  5. K

    Elections 2010 Ni haki mbwa kuvalishwa tisheti ya Kikwete?

    hapana jamani, mtu mwanamume akimpa mkeo nguo si ana kudharau? Tena nguo yenye picha yake? Ndio maana huyo mwanamume akaone bora akamvalishe mbwa ili kujibu dharau. Hata akimpa mtoto wako nguo huku mwanao huyo hawezi kula vizuri, hapati elimu nzuri, si dharau hiyo pia? Hawa CCM kama wana hela...
  6. K

    Elections 2010 JK aaibika uwanja wa Kipunguni Moshi Bar

    Napafahamu sana Moshi Bar, wakuria wengiiiiii! Hawa ndio waliomtoa mbinde kule Tarime, itakuwa Dar? Watu wamefuga kuku mpaka wamechoka! Hapati kitu Kipunguni. Nina rafiki zangu pale Magereza Ukonga wanaishi Kipunguni nao wanasema wamechoka serikali ya CCM! Kazi ipo
  7. K

    Elections 2010 Vichwa vya habari vya Raia Mwema na Mwanahalis

    Waaapi baba, la kuvunda halina ubani! CCM wananuka na matangazo na Tshirt zao! Watanzania wameamka, enzi za kudangnywa na Tshirt na pilau zimekwisha. Hata wapandishe watu kwenye ndege kwenda kwenye mikutano yao haitasaidia. suala sasa ni kulnda kura! hakuna kuondoka kwenye vituo, hakuna kwenda...
  8. K

    Elections 2010 Dr Slaa: CCM ni wezi wa kura wananchi lindeni kura zenu

    Jana niliopkea SMS ikitaka kujua uwezekano wa kura yangu kupigwa Zanzibar! Mimi ni mtanzania naishi West Africa! Ni tanzania bara! Hawa jamaa wanahaha!
  9. K

    KAPUYA ana hali ngumu KALIUA

    Huyo Kapuya ni ahaji wa ajabu sana, alhaji mwenye bendi ya muziki, klabu za usiku, baa! Huyu haa mungu hamwogopi. Ananyumba pale urambo mjini karibi na benki, akiwa hapo kazi moja tu, wanawake mpaka jua lina tua! kiwa hapo anendesha majungu na masihara kuhusu mpira! Awamu ya kwanza alipokuwa...
  10. K

    Elections 2010 Polisi na udhanifu wao

    Hawa wanajua kinachoendelea na kitakachofanyika siku (au usiku) hiyo/huo. Sheria inaruhusu watu wakae mita 100 toka kituo cha kura yeye anasema waende nyumbani! Watu wasikubali, wafuate sheria inavyosema. La sivyo maandamano nchi zima kupinga matokeo feki. Hawa wanataka watu waaundejeshi la...
  11. K

    Elections 2010 First lady anaahidi barabara ya Lami Mkata-Kilosa

    Huyo mama toka akiwa mwalimu na mwananchama wa CWT alikuwa na kiherehere sana! Hebu waulize CWT wakupe michapo yake alipokuwa anahudhuria vikao na semna za vyama vya wafanyakazi. Zero brain huyo!
  12. K

    Elections 2010 Dk Batilda Burian kuwalipia vijana wote Arusha kodi ya nyumba wakimchagua

    Huyu mama si ndio alikuwa Chief Whip pale bungeni siku wanamfungia Zitto au mmesahau? Huyu alisema Zitto anasea uongo akaungwa mkono na machizi wenzie akiwapo Mudhihir, Malechela, n.k. Anapaswa kulipia dhambi ile sasa, asipewe kura hata mmoja ili arudi akapambane na mke mwenza kule Zenji!
  13. K

    Elections 2010 Kipindi cha Dk Slaa kilichokuwa kirudiwe chaahirishwa

    Mfa maji haachi kutapatapa! CCM inchungulia kaburi lakini kuingia kaburini inabidi tuisukume kwa kura zetu! Bil kuinyima kura itafufuka na tutaendelea kuendeshwa kama mapeazi ya Lushoto na kina Makamba! Rostam, mtoto wa mhujumu uchumi aliyekimbilia Uganda wakati wa vita ya Sokoine walimfanya...
  14. K

    Elections 2010 Slaa aunguruma Mwembeyanga, LIVE TBC1

    Haki ya mama hata sie tulio kikazi West Africa tutasikiliza Mwembe Yanga! Hapa napata ITV vipi nao watarusha matangazo?
  15. K

    Elections 2010 Dr. Slaa rusha vipindi vya Televisheni kila siku hadi tarehe ya uchaguzi

    TV itawaongezea CHADEMA kura. Aliyekataa mdahalo kajitia kitanzi mwenyewe! Uliona wapi mtu anataka kuoa lakini hataki kujitokeza mbele ya wakwe? Ati anataka kwenda ukweni kwa kunyata! Hiki kituko cha mwaka! Mzee hapa tulipofikia ni sawa na Haiti ilivyokwa wakati wa PAPA DOC! Kikundi cha mafioso...
Back
Top Bottom