Search results

  1. Baba Joseph17

    Kuongezeka mtoto uzito

    Habarini za kazi na miangaiko ya maisha wana jamvi, tafadhalini naomba kujua ni sababu gani zinaweza kumfanya mtoto asiongezeke uzito? Mfano mwanangu anamiezi 4 na wiki2 lakini tangu akiwa na miezi 3 uzito wake ni 7.1 Kg hadi leo, walipo mpeleka kliniki nesi hakuwapa ushauri wa kwanini...
  2. Baba Joseph17

    Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM aunguruma

    Makundi ya Urais wa 2015 yanaendelea kuivuruga CCM baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kuibuka na kusema atamburuta mahakamani Mwenyekiti mwenzake wa Mkoa wa Geita, Joseph Kasheku ‘Msukuma' asipomwomba radhi kwa kumchafua kwa kumwita mpuuzi. Hata hivyo...
  3. Baba Joseph17

    Kwa nini mtoto wa kiume anatakiwa kukalishwa chini akiwa na miezi4 wakati wa kike ni miezi 3?

    Ndugu madaktari wa humu jamvini naomba mnisaidie nipate kuelewa kuwa ' Kwanini mtoto wa kiume anaruhusiwa kuanza kukalishwa chini akiwa na miezi 4 wakati yule wa kike ni miezi mitatu 3?' Sababu ninini?
Back
Top Bottom