Search results

  1. U

    Swali kwa watangaza NIA.

    Hili swali halijibiki kirahisi labda umpate nguri na kinara wa Maswali na Majibu Stephen Wasira ambaye pia ana uwezo wa kusimamia.
  2. U

    Majina saba yaipa kamati kuu ya CCM wakati mgumu

    Mnajadili upuuzi tu, kama jina la Stephen Wasira halimo basi orodha yako ni fake jipange upya
  3. U

    Lowassa apigwa mawe Tarime

    Mara hatutaki Ujinga
  4. U

    Wassira: CCM Ikisimamisha Mla Rushwa Itapoteza Dola

    Wasira amekuwa mwiba mkaliii, anazidi kukubalika Mijini na Vijijini
  5. U

    Wassira achukua fomu ya kuomba kuteuliwa Urais na CCM

    Wassira anawashinda wote hawa
  6. U

    Wassira achukua fomu ya kuomba kuteuliwa Urais na CCM

    Wassira kiboko yao Mamia wajitokeza kumudhamini Dodoma Mjini.
  7. U

    Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

    CCM wafanye maamuzi haraka, wanamchelewesha Stephen Wasira kuwa Rais.
  8. U

    Lowassa hakudhuria Msiba wa Mwalimu Nyerere

    Siamini kama hii hadithi ni kweli, bora asiende tu atapatwa na Majanga.
  9. U

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Hee! Mpaka huku? Au umeamua kuchekesha wasomaji
  10. U

    Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

    Wewe ni mchonganishi tu, huna lolote. Nukuu hujaielewa lakini unataka kuleta Vita ya Urais. Bahati nzuri Stephen Wasira amejaliwa hekima na akili nyingi hawezi kuyumba kwa maandishi ya Kitchen party. Wasira ni kada wa CCM mwenye nguvu ndani na Nje ya Chama ndio maana jina lake linapewa...
  11. U

    Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

    Kwani hijaelewa nini mkuu. Kuna Mabepali. Kuna Matapeli. Kuna Mabepali Matapeli Kuna Matapeli wasio Mabepali na hawa ni wengi. Hapo umeelewa? Wala sijachanganya.
  12. U

    Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

    Hivi unayaamini Magazeti ya Bongo mpaka yanakutoa usingizini buree! Jay Milioni hebu lala bwana usipanic
  13. U

    Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

    Bill Gate tumefurahi kukuona humu, kumbe na wewe una akaunti JF? Haya ngoja tukujuze bosi. Huyo ndio Rais Mtarajiwa ambaye atadhibiti mianya ya Rushwa na Ufisadi, yeye ni Mwadilifu mwenye msimamo. Mabepali matapeli kama wewe kaeni tako moja maana mwisho wenu ni huu. www.stephenwasira.co.tz...
  14. U

    Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

    Wasira ni mwanasiasa makini hajawahi kuwa na sentensi zenye utata katika mambo muhimu. Isije ikawa Mwandishi kamnukuu vibaya akaandika kwa nia ya kuwachonganisha. Inajulikana sasa ndani ya CCM mjadala mkubwa ni Wasira na Lowasa. Mmoja kati yao ndio Rais.
  15. U

    Mrema: Kikwete aendelee kuongoza Tanzania

    Mrema yuko sawa.
  16. U

    Mkakati wa Team Lowassa huu hapa

    Kama hayupo Bashe yupo, Abubakar Lyongo, Mgeja,Mwenyekiti wa Arusha,Msindai na Mathayo wa Musoma. Yeye anaugulia dripu kliniki wakati wapambe wanafanya fitina. Mbona jana hakuwepo na bado wakatoa Mil.50 Zanzibar.
Back
Top Bottom