Search results

  1. young stunna

    Jeshi la polisi Tanzania laamua kumfuata Agness Masogange Afrika Kusini...!!

    Jeshi la Polisi litapeleka askari wake Afrika Kusini kuwahoji washiriki wa video za wasanii wa muziki wa Bongofleva, Agnes Gerald ‘Masogange' na mwenzake Melisa Edward waliokamatwa nchini humo na dawa za kulevya. Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa aliliambia...
Back
Top Bottom