Search results

  1. ostrichegg

    Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

    Viashiria vyote sasa vinaonekana. Mtemi Hangaya keshaja kiburi/jeuri vilevile, anajipanga kutawala milele vilevile. Ninazidi kuamini kuwa karibu sana TUTASHANGAZWA.
  2. ostrichegg

    Kamati iliyotoa Mapendekezo ya Kamati ya Msajili wa Vyama Kuhusu Katiba Mpya, Kisheria na Kimantiki ni Batili

    Kwa Tume HURU ya vishoka akina Zito? Hata kama wananchi wote hawatoenda kupiga kura, BADO Mtemi Hangaya atapata 'ushindi' wa kishindo. Watu wa kutengeneza NAMBA zinazohitajika. Na wakishatangaza hakuna kuhoji tena.
  3. ostrichegg

    CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani, hakiko Serikalini iwe ya Muungano au Zanzibar

    Ndugu, Waonaje ukimpelekea mwenyekiti wako Zitto, ili mkalijadili kwenye kituo chenu TCD. NADHANI mtapata mawazo ya mapandikizi mengine yanayiogopa CDM kama Shibuda, Cheyo, Mrema, Hamad Rashid etc ili mumpelekee Mtemi Hangaya.
  4. ostrichegg

    Hai, Kilimanjaro: Komandoo Adamoo na wenzake wazawadiwa ng’ombe dume kila mmoja

    Sirro ana maswala mengi ya kujibu kufafanua 1.Polisi aiyetamka kuwa Mbowe hawezi kushinda 2. Yote waliyoropoka kuhusu Mbowe 3. Ypte waliyozusha kuhusu Lema
  5. ostrichegg

    Dkt. Mahera mgeni Maalum TCD, kutoa mada kabambe kuhusu Demokrasia, Haki na Uchaguzi Huru

    Kafika maji ya kina kirefu uwezo wa kuendelea kuogelea hana
  6. ostrichegg

    Dkt. Mahera mgeni Maalum TCD, kutoa mada kabambe kuhusu Demokrasia, Haki na Uchaguzi Huru

    Povu la nini Mahera? Imani nawe haipo, ilishakwisha sawa na Shangazi mchawi.
  7. ostrichegg

    Baada ya kuwa shabiki wa Chadema kwa muda mrefu, kama wasipobadilika watadumaa milele

    Wapo mapandikizi wengi kwenye mkutano huo. Hao weshapanga cha kufanya na hata nukuu zao zimejaa hewani. Kwa nini mtu ukubali huku unajiona, kwenda kuchezeshwa mchiriku wao usio na tija yoyote kwa Taifa hili.
  8. ostrichegg

    Baada ya kuwa shabiki wa Chadema kwa muda mrefu, kama wasipobadilika watadumaa milele

    Ni uhuru na haki yako ndugu huhitaji kutoa vijimaelezo, kama vile kuna aliyelalamikia kuondoka kwako.
  9. ostrichegg

    Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya Habari Machi 18, 2022

    Kwa kuweweseka huko yaonekana shetani bado kakukalia kooni. Hivi kwani wewe ni yupi? ni huyu? au huyu ?
  10. ostrichegg

    Hayati Magufuli atakumbukwa kwa msimamo na maono yake kwa Taifa

    Safi kabisa, ila ningepewa fursa ya kuiandika tena hiyo sentensi, ningeandika hivi; Katika USHETANI wao, Kamanda Kingai ametufundisha kuwa kuna kitu kinaitwa PGO
  11. ostrichegg

    Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

    Uko sawa HAWAJAWAHI
  12. ostrichegg

    Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

    NDIO. Tulia ILI upate usingizi wa kutosha UWEZE kutunza afya yako.
  13. ostrichegg

    Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

    NDIO. Tulia ILI upate usingizi wa kutosha UWEZE kutunza afya yako.
  14. ostrichegg

    Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

    Tulia upate usingizi wa kutosha ili utunze afya yako.
Back
Top Bottom