Search results

  1. K

    Sophia Simba ataendelea kuwa mbunge kupitia mahakama. Ya Bashe na vitisho vya kuhoji

    Kwani CCM walisemaje zitto alifofukuzwa? Si walisema Chadema Hakuna Demokrasia ni kufukuzana tu, mara wamemfukuza zitto kwasababu hawataki kuhojiwa, oh ni madictor wanataka chama kiwe cha watu wa kaskazini tu. Mkasifia ccm kuwa wamekomaa wana demokrasia. Naomba kuuliza, hiyo demokrasia ndani ya...
  2. K

    Watu wanamjaribu Rais Magufuli kupitia Makonda

    Ningetamani hili lifanyike ili tujue kweli tunaye Raisi mkweli asiyeyumbishwa na uswahiba. Ila ninamashaka katika hili. Zimwi la kulindana bado limo CCM na serikali yake. Namwomba Mungu Haki itendeke kwa wote. Rais asipolismamia hili kwa haki atakuwa amepoteza credibility ya kuwa muwazi na mkweli.
  3. K

    Mbowe acha siasa nadharia. Lema ni shujaa, ni kama Mandela

    Hiv ninyi CCM, meanza lini kupata uchungu na Chadema? Acheni unafiki basi, rekebisheni ccm yenu iliyooza, upinzani unawahusu nini? si mumepiga marufuku wapizani kuongea? Lema aikwa madarakani , ninyi ccm mtapata kitu gani? Acheni ujinga, tunawafahamu vizuri sana. Upinzani tunajua tunachofanya...
  4. K

    Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

    Hujui unachosema. Tulia ujifunze ndiyo uchangie mada. Unajua aliko Ben? Unawalaumu viongazi kwa lipi unalolijua kuhusu kupotea kwa Ben? Usikurupuke kuongea mabo ambayo huwezi kuyasimamia. Tulia jifunze hekima. Uliza serikali yako, kwanini wale watu saba wamezikwa bila kufanyiwa uchunguzi...
  5. K

    Kwanini Lowassa anawapoteza vijana CHADEMA?

    Huwezi kukurupuka ukaanza kumjadili mtu ambaye hakuhusu, anaendelea kufanya kazi zake. Si mmefungua mahakama ya mafisadi? Mnasubiri nini, si mumpeleke mahakamani? Acheni unafiki. Toeni uhuru wa kisiasa muone hao mnaowaita nyumbu, wanywaviroba, watawafanya nini.
  6. K

    Ijue IQ ya Mtanzania kwa kuangalia kesi ya Lema VS dhamana ya majangili.

    Umesema kweli, Hao majangili na majambazi ni wafadhili wa chama chenu ccm. Hongera kwa uwazi huu kwa mara ya kwanza. Mnalinda majambazi mnamtesa mbuge wa wananchi ati tu kwavile kasema ukweli.
  7. K

    Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Nasubiri nione kama mtampeleka Lowasa mahakamani. Mkigusa Lowasa kuhusu richimond mupeleke na aliyemtuma. Mnaongea mambo ambayo hamuyajui. Nangoja tu nione hiyo mahakama itampeleka nani huko. Kwani hata aliyeianzisha anatkiwa atangulie. Ukiandika kitu humu uwe umesoma ukaelimika halafu uombe...
  8. K

    Lema, ujenzi hospitali ya mama na mtoto Arusha umeishia wapi?

    Umepata jibu wewe? Inawezekana nyumbani huna Radio wala TV. si uulize kwa jirani nini kinaendelea duniani? Yaliyotokea jana Arusha hukuyaona? Kabla hujaandika kitu hapa hebu jaribu kujiridhisha ili usiaibike.
  9. K

    Mpaka hapa Dr. Slaa kubali kuwa Lowassa ni ASSET

    Unamaanisha nini kusema uchaguzi huu tunashindwa vibay sana? Una uhakika gani kuwa ccm watashinda? kura watatoa wapi? Nani atawapigia kura nyingi mpaka washinde vibaya sana? au unajua jinsi mnavyoiba kura na sasa unatujulisha kuwa mipngo yenu imeshakamilika ya kuiba kura? Mrema alishinda...
  10. K

    Maswali ambayo UKAWA huyakimbia

    Nimekuambia wewe hufahamu unachoongea. We ni mjinga tu na wala sio kamanda. Ni ccm, unatafuta huruma. Tunawajua kweli. At mama tanzania!!!! Utadhani unaijua hiyo tanzania unayoongelea. Ungeijua tanzani usingejiunga na wajinga wanaouliza maswali yasiyo na tija ambayo hata yakijibiwa hayaleti...
  11. K

    Maswali ambayo UKAWA huyakimbia

    Acha upumbavu, at wewe ni mmoja wa makamanda, makamanda wa wapi? CCM? Acha ujinga na propaganda za ccmahapa. Unadhani ukijiita Kamanda huu upuuzi wako utakuwa na mashiko. Tunawajua ccm na propaganda zenu dhaifu. Watanzania tumekomaa. Makamanda tunajifahamu. Unadhani kuja hapa na fake ID...
  12. K

    Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

    Mpango wao nikuiba kura. Mmeona wanavyobadili viongozi wa tume ya uchaguzi? Nawaomba viongozi wa ukawa wawe makini na mbinu hizi chafu za ccm. Kiuhalali ccm haiwezi kushinda mwaka huu. Tupige kura, tufuatilie matokeo kutoka katika kila kituo, tulinde kura zetu na tudai zitangazwe kwa uhalali.
  13. K

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Naona walikuja kuangalia Fiesta ya bure. Hakuna kitu hapo.
  14. K

    Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Wewe mtoa mada, Acha uppuzi wako humu. Kuna sheria gani inayozuia chma kimoja kukichangia chama kingine? unapoitisha harambee unachagua wakukuchangia na wakutoakukuchangia? Nani alikuambia kuwa Lowassa ndiye anayechangisha michango? Michano ile inachachngishwa na Chadema kwaajili ya kampeni...
  15. K

    Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

    Hata akiwa ICU tutampa kura zetu.
  16. K

    Kwanini Lowassa atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oct 25

    Subiri utamjua hatakama hutaki.
  17. K

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Egnecious Stupid allegation again. Hivi mlienda shule wapi? Nani alikuwamwalimu wenu? Hamjachoka tu kuandika propaganda za kipuuzi humu? Watanzania sio mazuzu kama manavyoaminishwa hapo lumumba. This is too cheap for us, look for another strategies. Lowasa tutampigia kura hata akitangaza...
  18. K

    Lowassa akubalika kila kona

    Ni kweli Kuanzia Magufuli mpaka wagombea wote na wapigadebe wote waCCM hawamalizi mazungumzo bila kumtaja lowasa. Wanadhani wanamchafua lakini wanamjenga vilivyo. Ukawa kampeni zao hazina matusi wala ahadi za uwango. Tunashinda mapema kabisa pamoja na mbinu zao mbovu. Piga kura yako, chagua Ukawa.
  19. K

    Kwanini wazee wenye heshima wa taifa hili wote wawe hawamtaki Lowassa?

    Wazee wote wenye hekima, Wangapi? Ni wangapi kwa idadi wanaomkataa Lowasa? wangapi ambao wametoa maoni yao kuhusu hilo? Ni nani amewathibitisha kuwa wanahekima? Hekima kwa mujibu wa nani? Unamuita kingunge kuwa ni mmoja wa hao wenye hekima, mbona ccm wanasema kuwa hana hekima baada ya kumuunga...
Back
Top Bottom