Wakuu kama mnavyofahamu kuwa usaili wa kazi ya sensa ya watu na makazi mwaka huu 2022 umefanyika nchi nzima wiki iliyopita hadi ijumaa tar 22 July 2022.
Kwa baadhi ya maeneo majibu yalikuwa yanabandikwa mara baada ya usaili kufanyika kwenye kata husika lakini maeneo mengi hadi sasa majibu bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.