Kwenye kesi itabidi uthibitishe nani katekwa?Alitekwaje tekwaje?Nani aliyetekwa!Mwisho Mahakama inaweza kukubaliana na wewe kwamba utekaji haurusiwi kisheria na hautamkwi na sheria yoyote na ni kosa.Ikaishia hapo na kukuacha kwenye “vacuum” kubwa.Na matukio unayoita ya Utekaji (badala ya...
Nadhani wewe ndo unanipa tip nzuri kuliko wote.Ushahidi kwamba walikwenda Morogoro kabla ya kwenda Moshi nani katoa?(Nataka kujua tu,mi si mfuatiliaji mzuri wa hii kesi)
Ukisoma kwenye list yako(Namba.6) utaona Uraia.Kwamba uraia ni jambo la Muungano.Hivyo,anayeongoza Tanzania ni Mtanzania ambayo ni moja ya sifa muhimu sana ya kuongoza nchi.
Nadhani ulikuwa umelenga kumtukana Lissu zaidi ya kuzungumzia mema ya Magufuli.Sidhani kama kuna uwiano sawa uliotakiwa kuonyeshwa kwa kila mtu kwa namna gani anavyomchukulia Magufuli.Hili halikuwa shindano bali ni msiba.Hukumuona Mnyika kwenye mazishi?Kaenda kufanya nini pale?Mbona Tundu Lissu...
Mi nadhani tuendelee kuamini mila na desturi zetu hasa mtu anapofariki ndo zinazotufanya hivyo.Ukitaka kila mmoja approve kwa namna anavyompenda au anavyomchukia nadhani utakuwa si ustaarabu na kinyume cha mila zetu.Hata hivyo “wanaomtuchukia “kama wapo hawajapewa nafasi hivyo ya kuonyesha namna...
Kiutaratibu Baraza Kuu hukaa mara 4 kwa mwaka.Lina ratiba maamuzi.Otherwise,kutokee suala la dhalula kubwa ambalo haliwezi kuamuliwa na Kamati Kuu.Ni masuala machache sana ambayo Kamati Kuu haiwezi kuamua kwa niaba ya Baraza kuu
Kuitisha Baraza kuu si jambo rahisi kama unavyofikiri.Linahitaji rasilimali pesa na maandalizi ya kutosha.Pia haliwezi kuitishwa kwa ajenda moja ya kina Mdee tu.Tasfiri ya kilichofanyika kamati kuu,maana ya kamati kuu ilikasimu madaraka yake toka Baraza Kuu.Hiyo ina maana imefanya maamuzi kwa...
Nadhani kama hujui jambo ni vyema kuuliza kwanza.Haki ya kukata rufaa haiwezi kuondoa ukweli kwamba maamuzi ya vikao halali yaliahafanyika.Kamati kuu ina mamlaka ya kufuta uanachama wa mwanachama husika kwa mujibu wa Taratibu za Chama.Maamuzi yakishafanyika wahusika hujulishwa kwa barua juu ya...
Nadhani spika anasubiri barua rasmi kutoka kwa KM kwa kumfahamisha juu ya kupoteza uanachama kwa wanachama hao.Lakini hilo pia halimzuii Ndugai kutoa maoni yake binafsi kwa maana yeye ni mwanachama wa CCM.Nadhani CHADEMA waendelee na kufuata utaratibu.
Kuna nafasi ya vyama vya siasa ya upinzani kwenye maendeleo ya nchi.Kubeza kama ishara ya kukebehi haiondoi hatari iliyopo mbele kwa mchango wa vyama vya upinzani.Kilichotokea mwaka huu kila mtu anakijua.Ni wakati sasa vyama vya upinzani kujipanga kweli kweli ili kuwa imara zaidi.Ni kipindi cha...
Unaweza pia kupanua wigo wa mawazo yako kwamba pengine kazi anayofanya Tundu Lissu ni kubwa mno hivyo mgombea huyo anajiuza mwenyewe.Mbowe pengine ana machache sana ya kusema,mengi ana cover Lissu mwenyewe.Pengine angalia mikutano yote ambayo Mbowe yupo,amekuwa anasikiliza zaidi kuliko yeye...
Kumbe ni suala la imani na si uhasilia.Naona sentensi yako ya mwisho umeiweka vizuri sana.Una imani,ila huna UHAKIKA.Imani hujengwa,hivyo umejenga IMANI na Mgombea wako kama vile watu wengine walivyojenga IMANI na mgombea wao(ambaye unampiga vijembe sasa).
Kwa taarifa tu ni kwamba kabla ya kumchukua Lowasa ilifanya utafiti wa kigezo cha Mgombea mmoja mmoja na namna anavyokubalika yeye binafsi bila ya chama halafu kukaja na utafiti wa kukubalika kwa chama(CHADEMA) na endapo mgombea huyo anayrkubalika zaidi akichukuliwa na CHADEMA kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.