Ungekuwa una miliki biashara ya mabasi usinge toa ushauri huu kwa serikali. Hii ni mentality ya tukose wote. Hayo unayoyasema yamejaribiwa duniani kote sio mapya. Serikali ijikite kwenye kukusanya kodi nakuwezesha sekta binafsi
Umetoa mapendekezo, lakini hujasema tatizo la Chadema ni nini? I wish ukaja ukaenda straight to the point nakusema matatizo ya Chadema ni 1,2,3....
Ubaya wa kutoa mapendekezo kabla ya kuainisha matatizo kinaga ubaga, ni kuwa haya mapendekezo yanaweza kuwa ni ya kufikirika ya tatizo ambalo...
Hata confidence Yao ipo juu sana, wengine wangekataaa na hiyo interview yenyewe. Sikutegemea kama wangeongea kiasi hicho. Watanzania wachache sana wanaweza kufanya interview za kingereza bila makosa
Hapatoshi, cdm needs to work even harder.
Embu fikiria mtu amekutawala for more than 55 years na Maendeleo kiduchu. Kama uduni wa maisha haukushawishi kupigia kuna chama kingine, what else would? Embu fikiria yanayotokea Leo kwa mwenyekiti wa act, ni chamgamoto Kubwa sana..... inabidi wapambane...
Hizi ofisi za maana za kata zinajengwa na nini, hela itatoka wapi?
Hauitaji majengo makubwa ya Matofali kujenga chama, tena kipindi hichi cha teknologia ya Habari na mawasiliano. Ofisi ndogo sana Wilayani zinatosha.
Ni vigumu CDM kushika dola, sababu kuu ni wa TZ kutojiamini. Hata...
Mswada bora uanzishwe na mbunge mwingine, ukianzishwa na Lissu wabunge wa ccm hawataupitisha. CCM hawawezi kupitisha mswada bila ridhaa ya mwenyekiti wao, Lissu yupo sahihi kwenye hili.
Mwaka juzi alilalamika sana kwenye issue ya gas na mafuta, ccm wakapitisha kwa wingi wao.
Lazima Lissu...
Tuache Unafiki na kuonea vidagaa, TMAA ni sisimizi tu kwenye hili sakata.
Wabunge wetu walikuwa wapi wakati haya yanatokea.
Chama na serikali vimefanya makosa na vimehusika moja kwa moja kwenye wizi huu.
Mwaka juzi chama na serikali mmepitisha sheria ya mafuta na gas then twenty years down the...
Nyani Ngabu, it is not a police state, it is a Vi-wonder state.
Your remarks are causing a delay in industrialization of our country.
Sir, We are going to detain you so that we can proceed with viwondernisation.
hakuna nchi inayotaka raia wake wanyongwe nje ya nchi, huu ni ujinga uliokithiri. Hata kama ni drugs balozi inabidi afanye jitihada ili warudishwe nyumbani kwao.
Exposure ni kitu muhimu sana. kila siku uko against your very own people. Kuangalia bunge mubashara hutaki, mitandao ya kijamii...
1.mwenyekiti wa ulinzi na usalama kazi yake ni ku chair vikao vya ulinzi na usalama, sio mtendaji.
watendaji ni police. Mandate yake inaishia kwenye strategic decision making.
2. Mbowe official address yake ni Hai, mkoa wa Kilimanjaro ambako ni nyumbani kwake. Yuko chini ya RC mwingine...
Hao wahitimu kwa nini wasihoji wenyewe?? lazima wasimame na miguu Yao miwili, tena wasipeleke kabisa hela, wafeeee.
Yanayotokea kwa wafanyakazi tuico kimya, nayo pia wapinzani wahoji. Nasema kaeni kimya wapinzani tuone tutafika wapi.
wapinzani wanajitahidi sana under very extreme conditions...
Wetu wamepiga pushups campaign nzima kuashiria wao wana afya na mwingine anakaribia kufa , Leo lema ameota inakuwa shida. Hili taifa ni la kinafiki sana watu utasema hawajui kama Lema kawekwa ndani
Kweny
Kwenye Nyumba area code ndio kitu cha kwanza na ndio kitu chenye thamani. Ndio maana three bedrooms flat in Oysterbay will command ten times ya three bedroom ya ubungo.
S
Financial statement zao ziko online.
Second nhc wamefanya kitu kizuri sana kupandisha kodi, viongozi, wahindi na family zao ndio wapangaji wa hizi nyumba za nhc . Unakuta nyumba ya nhc Upanga ni 250,000 wakati mtu anyekaa kimara nae analipa 250,000. Hawa jamaa waliokuwa wanakaa hizi Nyumba za...
Ha
Hata mimi nina mashaka sana na ma academicians. Hawajawahi ku run even a small shop, ghafla wanakuwa CEOs, wengi wame fail miserably..... Wengi utakuta wametumia mda mwingi wa career zao wakiwa wanasoma na kufundisha. Anyway Let's wait and see
Kote huko wakenya wako wengi, hata unapokutaja wewe. Tukienda mbali zaidi university zote UK na US zina wakenya wengi kuliko wa TZ na Ugandans combined.
Kama boss alivyosema tumechelewa ku embrace Market economy na sasa hivi tutarudi nyuma zaidi. Swala Dogo tu la dual citizenship ni issue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.