Search results

  1. M

    Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine

    Pole sana kaka, kwa kweli huyo dada hakufai hata kidogo anakudanganya na ameshajua kuwa unampenda ndio maana anakufanyia anayojisikia. Be strong my brother, muombe Mungu atakupa msichana anayefanana na wewe. Achana nae na usiogope kumueleza ukweli kwani usipofanya hivyo utaendelea kuumia na...
  2. M

    Kwanini kuna kuumia kwa mapenzi.

    Wasichana walio wengi huwa wanapenda kutoka moyoni ( True love)na wanatarajia mambo mengi mazuri kutoka kwa wapenzi wao sasa pale mambo yanapokuwa hayaendi kama walivyotarajia ndio maumivu yanakuwepo. Kwa mfano wasichana huwa tunatarajia kuwa na good time na wapenzi wao lakini unamkuta mpenzi...
Back
Top Bottom