Search results

  1. Teja Junior

    FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Team iko nafasi ya 4 huko kwao anakunda hivi ukikutana na Al Ahly je? 😂 Mnafkiri Simba anavyoishia Robo Fainal mkajua anakutana na Vipers au Marumo?
  2. Teja Junior

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Huyu ndio Ibrahim Baka bila Hirizi za kishirikina sasa.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  3. Teja Junior

    FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Yaani Erasto Nyoni anatukazia utahisi hatujui.. Hii Dunia hii
  4. Teja Junior

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Simba anatoa Sare na Bingwa Africa.. Wakati Yanga anafungwa na Ihefu!
  5. Teja Junior

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaha Humu bado kuna kelele zakitoto mpka leo ndio maana wadau wakitambo tuliwakimbia sababu zakelele watu hampendani kabisa umoja naona ushakufa ngoja wengine tuendelee kumpiga kimya kimya maana humu utoto ushakuwa mwingi
  6. Teja Junior

    FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

    Balekeeeeeeeeeeeeeeeee Goli la Pili Simba Bingwa msimu huu aisee
  7. Teja Junior

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Cheza hiyo code DXA57 wale wenye hela
  8. Teja Junior

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakuna wadau wanao tumia 1xbet humu siku hizi
  9. Teja Junior

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizo Code 730F701 za Sportybet me natumia Airtel hapa Sportybet inagoma kufunguka naomba mtu anioneshe hizo mechi kwa ukubwa
  10. Teja Junior

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa: D5763A5 (wenye hela )
  11. Teja Junior

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa:44B32A8 odds tatu 95%
Back
Top Bottom