Search results

  1. MwanaDiwani

    Mvua zinanyesha nchi nzima, mavuno kwa wingi yanavunwa na kelele za "Bashe Funga Mipaka" zimekwisha

    Kama mimi upotoshaji wangu niwa kijinga basi wewe ulichoandika ni upu.mbavu bila kujua kama ni upu.mbavu!
  2. MwanaDiwani

    Mvua zinanyesha nchi nzima, mavuno kwa wingi yanavunwa na kelele za "Bashe Funga Mipaka" zimekwisha

    Tuliambiwa kuwa mvua hazinyeshi kwa sababu Magufuli alikata miti milioni 3! Imekuwaje tena mvua zinanyesha! Mkiwa waongo ni vizuri msiwe wasahaulifu!
  3. MwanaDiwani

    Hongereni sana TANESCO

    Wapambe wa January Makamba na genge lake la wapigani na wasanii!
  4. MwanaDiwani

    Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

    Huyo “Mama” yako hana lolote! Siku hizi udhaifu wa Mama wana wabebesha viongozi wengine. Acheni unafiki. Hujui kama Mama=Makambas
  5. MwanaDiwani

    Tamko la CCM: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, yaipongeza Serikali ya awamu ya tano

    Ni CCM hiyo hiyo iliyokuletea Rais Magufuli. Ni CCM hiyo hiyo iliyokataa shinikizo la mafisadi yenye mafuriko ya kutengeneza kifisadi.
  6. MwanaDiwani

    Tamko la CCM: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, yaipongeza Serikali ya awamu ya tano

    Hoja yako ni nini hapa? Kama mngekuwa na Ilani nzuri kama unavyotaka kuaminisha wanaJF, mbona haikuwapeleka Ikulu? By the way, Mwaka 2010 CHADEMA ilidai itahakikisha serikali haitumii magari ya kifahari(Mashangingi). Mbowe aliita waandishi wa habari ili kuwaeleza anarudisha gari serikalini ili...
  7. MwanaDiwani

    Tamko la CCM: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, yaipongeza Serikali ya awamu ya tano

    Magamba na Makomeo ndiyo nani? Kama una maana CCM na Rais Magufuli, basi utakuwa unahitaji elimu ya Uraia.
  8. MwanaDiwani

    Tamko la CCM: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, yaipongeza Serikali ya awamu ya tano

    Wishful thinking coupled with poor information!
  9. MwanaDiwani

    Tamko la CCM: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, yaipongeza Serikali ya awamu ya tano

    Hapana, hii ni spidi ya 120 km/h ya serikali ya Lowassa mabadiliko, mabadiliko Lowassa, wakati huo huo ukizingusha mikono! Kwa kukusaidia kidogo, Sehemu ya 11-13 ya Ilani ya CCM inasema, Vita dhidi ya Rushwa 11. Jitihada za kuinua uchumi na kuongeza huduma za jamii hazitaleta manufaa kwa...
  10. MwanaDiwani

    Tamko la CCM: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, yaipongeza Serikali ya awamu ya tano

    Kama hayahitaji kuita waandishi wa habari, na wewe ni nini kimekuleta hapa kwenye bandiko ambalo unadai halifai hata kuwepo waandishi wa habari.
  11. MwanaDiwani

    Tamko la CCM: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, yaipongeza Serikali ya awamu ya tano

    Watu wa aina yako mnafurahisha kama siyo kusikitisha! Kama Ilani yenu ingekuwa ni nzuri kwa nini haikuwapeleka Ikulu? Unafiki wa kutaka kujinasibisha na Serikali ya CCM wakati wananchi walitupilia mbali unafiki na ulaghai wanu ni kupoteza muda. Unaweza kupitia video za kampeni za CCM kama...
  12. MwanaDiwani

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Mahatma Gandhi katika kitabu chake kiitwacho, The Story of My Experiments With Truth akiwahi kuandika, ''The seeker after truth should be humbler than the dust. The world crushes the dust under its feet, but the seeker after truth should so humble himself that even the dust could crush him. Only...
  13. MwanaDiwani

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Mbowe ni mfanyabiasha wa kisiasa. Amefanya biashara yake kwa sasa anashangilia! Baada ya uchaguzi ataenda holiday kwenye moja ya nyumba zake nje ya nchi! He's loaded!
  14. MwanaDiwani

    Yanayojiri Jijini Mwanza: Mkutano wa kuhitimisha kampeni za mgombea Urais wa CCM, Magufuli

    Rais Kikwete: Magufuli anatosha. Vigezo vyote anavyo. Hana makandokando. Magufuli ni mtu anayependa watu. Mcheshi, habagui watanzania, Mtu mwenye huruma. Magufuli hana tatizo la afya kwa sababu kwenye kuwajadili wagombea, afya ni moja ya kigezo cha kuteuliwa ndani ya chama. Magufuli hana...
  15. MwanaDiwani

    Yanayojiri Jijini Mwanza: Mkutano wa kuhitimisha kampeni za mgombea Urais wa CCM, Magufuli

    Anamkaribisha Mgombea Mwenza, Samia Suluhu awasalimie wananchi na kusema machache Samia Suluhu Anaanza kwa kutoa shukrani kwa watanzania waliojitokeza katika mikutano waliyoifanya nchi nzima. Anawashukuru madereva waliofanikisa safari zao. Anawashukuru wananchi waliowasaidia kuwapigia kampeni...
Back
Top Bottom