Search results

  1. R

    Vigogo++ CCM Lakini Chali

    Kifo cha CCM ndiyo kimeaanza, upinzani sasa wanakalia viti Arusha Mjini, Arumeru Mashariki, Hai, Moshi Mjini na Vunjo kwa Mweshimiwa Mrema.... poleni CCM
  2. R

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Watanzania wasikubali matokeo haya yaliyochakachuliwa na CCM, hii ni hatari sana, CHADEMA wanachukua hatua gani?
  3. R

    From Goatherd to Governor, Edwin Mtei's Autobiography

    Hongera mzee Mtei kwa kuandika , viongozi wengine waige mfano huu wa kutueleza yaliyopita ambayo ni vigumu kuyapata kwa vizazi vijavyo... alikuwa na msimamo baada ya kutofautiana na JK kwenye masuala ya uchumi na kujiuzulu kwenye serikali miaka hiyo ya nyuma, aliyomshauri JK baadaye walikuja...
  4. R

    David mattaka out ATCL

    Tusubiri confirmation but all in all the guy failed to turnaround the company, how could you have more than 200 employees with only about 4 small planes?
  5. R

    Kaufisadi ka NDC 2000 kagundulika 2008!

    Jamaa hawa wa NDC muziki mzito kwanza nyumba walizomuuzia fisadi mwenzao Johnson Lukaza pale Namanga (zimezungushiwa mabati karibu na kituo cha daladala) kwa muda mrefu hizi ziliuzwa kwa karibu $ 2.5 million na NDC management ilikula hongo ya $500,000 wakampatia Lukaza hizo nyumba. Pili jengo...
  6. R

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Aingilia eneo la WMA

    Pia kuna fununu kuwa huyu mkuu wa mkoa Shekifu ana mpango wa kuuza na kukodisha mashamba ya barley and wheat huko Manyara kwa wawekezaji feki. Mashamba haya ya barley/wheat yanaweza kuendelezwa na kutimiza matumizi ya TBL wakipata wawekezaji kwa njia sahihi siyo za maamuzi yake tuu. TBL sasa...
  7. R

    Kaufisadi ka NDC 2000 kagundulika 2008!

    Director NDC - I.J.A Nsemwa amwaga manyanga jana, hivi amelazimishwa ku-resign? au uchunguzi umekamilika na kuamua hivyo au ni mbinu yake ya kuficha mambo? Si asubiri matokeo ya uchunguzi na maamuzi ya lipi lifanyike kwa waliohusika. Adhabu kali lazima ichukuliwe kwa yeyote atakayekuwa...
  8. R

    Kaufisadi ka NDC 2000 kagundulika 2008!

    Serikali ichukue hatua mara moja kwa Simbakalia na team yake ya management aliyoweka wakati huo Mwakibolwa, Nsemwa - ana mali nyingi sana huyu wakati shirika halina kitu, huyu alitokea BOT na naona ndiyo alichora huu mpango wa kupeleka fedha huko Mauritius. NDC kila leo serikali ina inject...
  9. R

    Kaufisadi ka NDC 2000 kagundulika 2008!

    Hawa jamaa wa NDC wachunguzwe pia kwa kujiuzia nyumba za shirika kwa bei ndogo na kwa upendeleo. MD aliyepita afikishwe mahakamani kwa kuficha huu wizi wa mali za umma wa walipa kodi wa nchi hii.
Back
Top Bottom