Search results

  1. KYAMTUNDU

    CHADEMA: Msimamo wetu wa kufanya mikutano nchi nzima upo palepale

    Tutawaambia: 1. Walitupiga fix na bei ya sukari kuwa haitazidi 1,800/= 2. Tutawaambia "Elimu Bure" changanya na zako
  2. KYAMTUNDU

    CHADEMA: Msimamo wetu wa kufanya mikutano nchi nzima upo palepale

    Watoto wa viongozi ni nadra kutangulia kwenye harakati. Watoto wa Magufuli hawakuwa mbele wakati wa kampeni ili wavae nusu uchi au kata K na kunengua jukwaani wakitushawishi tumpe kura baba yao Wanaotangulia ni watoto wa wengine Mbowe is leading OUR cause
  3. KYAMTUNDU

    CHADEMA: Msimamo wetu wa kufanya mikutano nchi nzima upo palepale

    Kuna uhusiano gani kati ya maandamano na kabila? Mawazo ya kijinga kabisa
  4. KYAMTUNDU

    CHADEMA: Msimamo wetu wa kufanya mikutano nchi nzima upo palepale

    Watoto wa viongozi ni nadra kutangulia kwenye harakati. Watoto wa Magufuli hawakuwa mbele wakati wa kampeni ili wavae nusu uchi au kata K na kunengua jukwaani wakitushawishi tumpe kura baba yao Wanaotangulia ni watoto wa wengine Mbowe is leading OUR cause
  5. KYAMTUNDU

    Tido Mhando ni kada wa CCM?

    Msomi hawi neutral... Msomi huwa objective.. Ukiwa Msomi neutral utaishia kuwa akina Rutengwa, Mutungi na wale PhD holders wanaolilia uDC!
  6. KYAMTUNDU

    CHADEMA: Msimamo wetu wa kufanya mikutano nchi nzima upo palepale

    Uliwahi kuona watoto wa Magufuli wakiwa mstari wa mbele kwenye jua kali wakiwa wamevaa kata K na kunengua jukwaani wakitushawishi tumpigie baba yao kura? Hayo hufanywa na watoto wa makapuku. Mbowe is leading OUR cause
  7. KYAMTUNDU

    Kilio cha wanaUKAWA kwa Shaffih Dauda mbele ya Nape na Makonda!!

    Anatafuta nafasi ya kuajiriwa BASATA
  8. KYAMTUNDU

    Mkutano mkubwa wa hadhara wa kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza

    Nawe waonesha kiwango chako cha kusoma. Sentensi unayoijibu inasema hivi " Katibu Mkuu MSOMI kuliko MAKATIBU WA VYAMA vyote duniani"! Sentensi unayoinukuu haisemi "Katibu Msomi kuliko wote CHADEMA, DUNIANI nk"! Comparative Analysis ni mojawapo ya somo ambalo huenda katika pitapita zako...
  9. KYAMTUNDU

    Wasifu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent B. Mashinji

    Hana amani Utumbuaji ushamtia kiwewe
  10. KYAMTUNDU

    Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

    Hahahahaajajaaaaaa CCM bana
  11. KYAMTUNDU

    Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

    Shida iko wapi?
  12. KYAMTUNDU

    Mkutano mkubwa wa hadhara wa kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza

    Kwamba chama cha madaktari ni chama kisicho cha hiyari?
  13. KYAMTUNDU

    Mkutano mkubwa wa hadhara wa kumtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji -Furahisha Mwanza

    Bisha kwa ushahidi Wazijua elimu za makatibu wa vyama vingine?
  14. KYAMTUNDU

    Wasifu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent B. Mashinji

    Kwani kashindwa nini kati ya hayo?
  15. KYAMTUNDU

    Yaliyojiri Mwanza: Mkutano Mkuu wa Baraza kuu CHADEMA - (Uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Chama)

    Kujua huja kwa kusikia Mbowe anapoongea ili watu wasikie anataka tujue Nakushangaa usiyetaka watu wajulishwe Chapa kazi Dr. MASHINJI magamba yapo yanajinyea
  16. KYAMTUNDU

    Wasifu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent B. Mashinji

    PhD inasomwa kwa miaka mingapi ndugu?
  17. KYAMTUNDU

    Wasifu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent B. Mashinji

    Bila shaka umempa dawa yake akaoge alale
  18. KYAMTUNDU

    Wasifu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Vincent B. Mashinji

    Unaona ulivyojikanganya sasa? Unasema "anaenda kuwa remote" halafu unasema "tumpe muda"??!
Back
Top Bottom