Kamata haki yake, Mrema alimtahadharisha kuwa yeye mwaka 1995 alitandikiwa kanga barabarani, awe mwangalifu, yeye mwaka huu amdekiwa barabara, sasa anatapata, watanzania wana akili
Bwana wee,
kumwaga damu!!!!!!!!!, acha uchuro naona umechoka kufikiri, umeanza vizuri, lakini mwisho umeharibu kabisa!!!! sidhani kama mawazo yako haya yana tija kwa watanzania
Wana JF,Hivi tunapoteza muda kuzungumzia Nyaucho. CDM wenyewe kama ni makini hawawezi kumsikiliza nyaucho wenye akili wanamfahamu kuwa ni :A S-rap::A S-rap::msela:
Wana Jamvi,
nashangaa watu wanaleta ushabiki,
Zitto M/ti PAC kasema na alisikilizwa, leo Muhongo WN kasema , watu wengine wanalalama. achanei ushabiki . WN anasema kuwa hizo fedha ni za IPTL, sasa kama kuna fedha za umma kwa sababu ya VAT basi Mamlaka husika wamfuate IPTL alipe kodi, hebu...
Kwani huyu anaeleza nini , maisha ya watanzania wengi ni vijijini na watoto wanaenda shule kwa miguu tena bila viatu, sasa mnashangaa nini. Halafu story ya kuwa PA wa President na kuzunguka dunia nzima ndiyo nini !!!!!!!!, achane kampeni zenu za kitoto kama mhusika mwenyewe
:sad::sad::A S-rap::A...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.