Search results

  1. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Hongera Pukudu,wana Shinyanga jipangeni vyema kwa msimu ujao maana bila shaka kwa kila timu kucheza mechi thelathini katika miji ya Mtwara Mbeya Morogoro Dar Tanga Songea Bukoba na Shinyanga si kazi ndogo.
  2. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Uwanja wa Taifa ni mali ya Serikali.TFF inalipia kila inapoutumia.
  3. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Pukudu as a rule sipendi kuingilia kazi ya mwalimu.Ila ujumbe wako nitaufikisha.Si unajua miluzi mingi? cc Malafyale wakimataifa
  4. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    gfsonwin!!!! msalie Mtume tafadhali!
  5. Jamal Malinzi

    Regional Champions League (RCL)

    Hapana Mphamvu hii ligi inaitwa Regional Champions ligi RCL,it is a fourth tier league baada ya ligi kuu VPL,Ligi daraja la kwanza FDL na ligi daraja la pili SDL,hizi ligi tatu ni za kitaifa.Washindi watatu wa RCL watapanda daraja na kuingia ligi taifa daraja la pili SDL.Washiriki ni vilabu...
  6. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    @gfsowin Katiba zetu zimepunguza mianya ya wakorofi wachache kutibua utulivu kwenye vyama vya mpira.Ndio maana kipindi kile waliojaribu kumwondoa Mh Rage madarakani walikwama. Hili la timu kuhujumiwa linahusisha upangaji matokeo yaani match fixing.Hili tunalipiga vita na likibainika adhabu ni...
  7. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    faiza foxy FIFA wana taratibu zao ,nyasi bandia kabla hazijawekea kuna commitments inabidi zifanywe na wamiliki wa viwanja.Nyamagana na Kaitaba wamiliki ni Halmashauri na ndio maana umekuwepo urahisi wa kukubaliana na FIFA.Next target ni Moshi uwanja wa St George wauza mitumba wakitoa nafasi...
  8. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    kyumana usitarajie kuvuna pale ambapo hukupanda.Structure (mfumo) wa mpira wa nchi hii unaujua? Mchana mwema.
  9. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    elezea wapi tumefeli na nini yalikuwa matarajio yako.Program zetu kwa kulingana na kipato cha TFF tumeziweka wazi na zinajulikana.U17 mwaka 2017 Madagascar tunaandaa kikosi sasa cha U15,U17 2019 fainali za Afrika tumeomba uenyeji na kikosi tunaanza na U13 June.Pia kila mkoa kuwa na youth program...
  10. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Kandukamo 1 wakimataifa Kipaji Halisi nini hasa kinaongelewa hapa? Lini TFF ilitoa tamko la kukubali ku host? Lini CECAFA walitoa orodha ya vilabu shiriki? maana wao ndo wenye mandate.Tuwe tuna deal na facts please.
  11. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    tutakuwa na Taifa cup na Federation cup na pia idadi ya mechi za ligi inaongezeka.
  12. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    kweli kabisa,thanks
  13. Jamal Malinzi

    Kwanini Waamuzi wa Tanzania hawachezeshi mechi za kimataifa?

    Mambo ni mazuri kwa waamuzi wetu,majuzi Nkongo alichezesha na mwezi may Jonesia atachezesha Gabon vs Congo.Tunaongeza jitihada za kuinua uwezo wao.
  14. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    wakimataifa barua ya CECAFA ndo kwanza tumeipokea leo.Tunaitafakari.
  15. Jamal Malinzi

    Mbwana Samatta ajeruhiwa vibaya na Jiwe kichwani kwenye mechi Lubumbashi

    El Toro ahsante kwa hii taarifa.Jana nilijua tp mazembe walicheza ila sikuwa na taarifa za hili tukio.Mara moja tunawasiliana na klabu lubumbashi tujue nini kinaendelea kwa kijana wetu.
  16. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    JUMONG umuhimu huu tunaufahamu. Suluhisho lake ni kurudisha kombe la Taifa,Taifa cup. Shindano hili ndilo pekee linalohusisha mikoa yote ya nchi hii na kutoa fursa kwa vijana nchi nzima kuonyesha vipaji vyao na hatimae kuingia kwenye program ya maboresho ya timu ya Taifa.
  17. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    wakimataifa ni kweli duniani kote kuna wachezaji huwa wanakuwa "targeted" na mabeki na wakati mwingine wanaumizwa makusudi. Majuzi Mourinho alilalamika kuhusu rafu za makusudi anazochezewa Eden Hazard na akawataka waamuzi wamlinde kwa kutoa adhabu kwa wahusika.Waamuzi katika kozi zao huwa...
  18. Jamal Malinzi

    Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

    msumeno hata kwenye mechi za kimataifa?
  19. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    wakimataifa naomba subira tovuti nzuri ya TFF inajengwa.
  20. Jamal Malinzi

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    SaaMbovu TFF tayari tumeajiri mtu maalum wa kusimamia ukurasa wa "archive" kwenye tovuti mpya ya TFF ambayo ipo kwenye hatua za ujenzi.Ikikamilika na kuzinduliwa utaona mabadiliko.
Back
Top Bottom