Whoa whoa whoa, sorry. I thought this post was by Mkwawa.
He quoted me a Quran verse and I told him/her to give it to you b'se I'm not a Muslim.....u misunderstood.
Mbokaleo, tofauti ya mungu wa waislamu na mungu wa Waisraeli ni nini? (note, mungu wa wayahudi hakuja duniani kujiua kisha kujifufua, huyowingine).
Mungu wa waislamu si yule aliyewapa Waisraeli sheria na miongozo ambayo mimi na wewe tumeshupalia kupinga?
Sijapata muda lwenda through the...
Mbokaleo, tofauti ya mungu wa waislamu na mungu wa Waisraeli ni nini? (note, mungu wa wayahudi hakuja duniani kujiua kisha kujifufua, huyowingine).
Mungu wa waislamu si yule aliyewapa Waisraeli sheria na miongozo ambayo mimi na wewe tumeshupalia kupinga?
Sijapata muda lwenda through the...
Tatizo..Waislamu bado wanafwata sheria za Musa. Maybe nyingine wame maneuver.
Lakini kwani Mungu wa Waisraeli hakuagiza Waisraeli wakaue mataifa mengine yasiyomwabudu mungu wao? Hadi watoto na wanyama. Kuchoma mahekalu yao na vitu vyao. Hadi kuchukua watoto/mabinti bikra I.e ubakaji...
Haha Eiyer. I read your text while smiling. You reminded me of when I was a Jehovah's Witness and believed we were "god's channel" to mankind. Those people really wish they were Jesus.
About Yesu na kupanda mbinguni, je, Yesu hakuwa akiongea na Wayahudi?
About mungu kujaribu, :bored: sasa...
Ushasikia wavyotetea mauaji ya watoto? Eti sasa wakikua wakiamua kulipiza kisasi, ndomana mungu aliagiza wauawe tu.
Siku niliyosikia hiyo sababu, it was a point of no return for me.
Sijui kama jibu la Eiyer litakuwa sawa au tofauti. Soo many possible interpretations for a verse,AND WHEN YOU...
Ohhh, you were following my convo with yule jamaa aliyepewa ban!? I'm an Agnostic.......and whatever creator is out there (if there is), si mungu wa biblia. That's my stance.
Mjasiria, najua kuhusu Tanakh. Najua vitabu vyake vya kwanza yaani Torah, ni vile vya mwanzo vya kwenye biblia, yaani...
Eiyer mimi na wewe tulikuwa tunaongelea maovu ya mungu wa Waisraeli, mbona umekuja huku? Anyways.....
Na mimi nakujibu your first Q kwa swali,u as a Christian, unajuaje Allah doesn't exist?
Contradictions:-
Yohana 3:13-hakuna aliyepanda kuingia mbinguni ila yule aliyeshuka kutoka mbunguni...
Kwahiyo ukizaa mtoto ukasema "wow mwanangu is perfect" na baadae akija kuwa uuum "muuaji" hutasema unajuta duniani?
Inshort, unafikiri kuna tofauti ya mwanadamu na matendo yake?
oh Mjasiria, if you're a bible beleiver and unajua its contradictory then you're very lucky. For sure wengi hawajui. And so tunakubaliana the bible is NOT inerrant nor infallible as its claimed.
Simkubali.
Kwanza kwasababu as nilivyotoa mfano, genealogy ya biblia is very clear. Ukihesabu...
nimekusomaaaa hadi ukanipoteza kwa obama.
We sema tu unaongelea kale kadini ketu ka utatu kongwe kongwe kuliko zingine....kweli napenda pia wanavyovalue secular education....na sikuhizi they're open to the possibility ya evolution.......
Sooo why exactly umemuita obama 'very intelligent??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.