Search results

  1. A

    Kikao cha kamati kuu CCM Dodoma na kikao cha ma-RPC

    Kial mtu yupo taabani na ccm hata polisi nao wamechoka na ccm saa ya ukombozi yaja chadema ni mpango wa MUNGU kwani kuitetea ccm ni kazi sana
  2. A

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Makamanda wanatisha balaa nawakubali sana
  3. A

    Taarifa: Hujuma za CCM dhidi ya CHADEMA wilaya ya Lushoto,mtoto wa-mjumbe wa NEC,m/UVCCM matatani

    Hivi polisi nao hawaandai mazingira kuwa ipo siku ccm itatoka madarakani watabebwa na nani tena jamani haya
  4. A

    Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

    Ccm wapanda mbegu wenyewe wa kujiondoa kwenye utawala hata wakoloni walikuwa na ndoto ya kuondoka lakini waliondoka wenyewe sasa zamu ya ccm
  5. A

    Dr. Slaa aongea na wanafunzi katika Kongamano la wanavyuo

    Mapambano yanaendele makamanda
  6. A

    Serikali yakata rufaa kupinga Mahakama Kuu kutengua Ubunge wa Aeshi Hilaly(SUMBAWANGA)

    Ngoja wakapambane na kichwa lisu na mabele watanyooka kesi za chaguzi wameshida moja tu zote wamepigwa chini
  7. A

    CCM wamepanga hili - read

    Acha wajaribu lakini kamwe ukweli utajitenga kabisa
  8. A

    Picha: Jinsi Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa, Joshua Nasari, Godbless Lema Walivyoung'uruma

    Kamanda dr slaa namfananisha na MUSSA aliyeambiwa na MUNGU akawaokowe wanawaisrael kutoka misri kwenye nchi ya utumwa na kwenda nchi ya ahadi humo njiani walikutana na vikwazo vingi sana sasa ndo kamanda slaa MUNGU atamlinda kwani maombi ya watanzani wengi ni kumuombea uhai wake na watashindwa...
  9. A

    Picha na Maelezo: Mkutano wa CHADEMA Mjini Moshi - Jan 14, 2013

    Na wtakubali tu tumechoka ccm kamanda wa ukweli sio wa bahasha we ni mtume tuko pamoja
  10. A

    Ungependelea Chama gani kiwe chama kikuu cha upinzani baada ya CHADEMA kuchukua Nchi?

    Hakuna chama kitakachokuja kutawala milele duniani hakuna na ccm nayo itapotea tu,si kwamba ccm hawajuwi iko siku hawatakuwa wao madarakani wanjuwa sana ila wanaogopa sana kufungwa na kutaifishwa mali zao za wizi walizowaibia watanzania na siku chama kingine kikiingia ni kuwatimuwa kupeleka jela...
  11. A

    Chadema wilayani Kasulu kunafuka Moshi

    Mwendo wa chadema ni mzuri sana kiongozi akikiuka katba ya chama nkufukuzwa tu ili mtu akija mwingine ajuwe style ileile kuwa nikikosea utaratbu napigwa chini,naomba hii iendelee ili tujenge utamaduni wa kuwa wazalendo hasa kutumika kwenye uongozi kwa manufa ya umma.
  12. A

    Dokt.kitila Mkumbo na harufu ya shida za wana iramba magharibi.

    Wtu kama mwigulu nchemba kijakupotea kwenye siasa ndo basi tena hta chembe habaki
  13. A

    Katibu mwenezi CCM (Nape) yupo live Radio Wapo

    Hivi ccm ya nini kwa sasa? Haina dira kabisa wamebaki kujibu hoja za wenye akiri badala ya kufanya kazi ya kufanya kazi.waombe MUNGU wasitoke madarakani,wakitoka wanaume wakaingia mafisadi wote nikuwachukuwa na kuwapeleka gerzani na familia zao wakazalishe kabisa na kuyafilisi
  14. A

    Kwanini Dr. Slaa hapendi kuhudhuria mazishi ya wasanii wetu?

    Ccm wanaweza kupata gepu la kumaliza dr wetu wa ukweli siunajuwa ccm wanamtafuta sana na anawanyima usingizi
  15. A

    M4C yaingia Iringa Mjini Jan 03, 2013

    Komaeni makamanda tulianza na MUNGU tutamaliza na MUNGU
  16. A

    Kwanini hotuba za Rais Kikwete zinakosa mvuto?

    Mtu mwenyewe anau dr wa kupewa kwenye bahasha,katika maraisi waliopita huyu ni waaina yake mswahili bwana!
  17. A

    Majibu ya Zitto juu ya shutma za kuhujumu CHADEMA

    Zzk kwanini anatajwa sana huenda kunkitu
  18. A

    Majibu ya Zitto juu ya shutma za kuhujumu CHADEMA

    hata mimi zito namtilia shaka inawezekana ni kibarka
  19. A

    CHADEMA yatangaza kiama cha CCM

    Tumeandaa kaburi lao wala msihofu na kijana anayeshabikia ccm akapimwe akiri
  20. A

    Nani adui wa CCM? CHADEMA au Ufisadi?

    Wanajuwa kabisa kuwa wanajila wenyewe ila siku zao zimefika na hiki kizazi cha dijitali wataisoma namba
Back
Top Bottom