Chief itabidi uandike UZI mzuri wa kuwa motivate vijana . Wape mbinu mbalimbali na ujuzi wa namna ya kutambua potential waliyonayo. Utawakomboa wengi sana . [emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu utafika mbali sana .kama bado hauja graduate na umeshaanza mapambano kuja wana wame graduate 2013 mpka leo wametulia wanasikilizia Serikali.
Big up sana.
Sure !! But atleast umeonesha umeonesha upambanaji. Tofauti na Graduate anayesubiria Ajira Portal. Naamini kuna wadau kupitia huu uzi wanaweza kutoa nafasi mbalimbali au wakakushika mkono. Naamini baada yq miaka kadhaa tutakuja kutoa ushuhuda
Sasa hapo ndio fursa mkuu! Unakwenda kwa mkuu wa kitengo ! Unampa athari za kutumia outdated software lakini unampa wayforwad sikumoja moja unawapa training ya computer unafanya maintanance kidogo watakuamini tu Mimi nilikuwa mjanja sana fursa kama hizi nilikuwa nakomesha
I think vijana wawili au watatu wa IT wakijiunga na kijana mmoja wa bussiness aliye major kwenye marketing wanaweza kuunda kampuni ndogo ambayo kazi yake itakuwa ku solve IT issues kwenye ofisi mbalimbali. Kwa kuanza IT you dont need much capital cha zaidi ni kuwa na skills tu. Nchi yetu hii IT...
Mkuu ni shida sana .Tena hii issue ya IT & ICT inahitaji ifunguliwe UZI humu jukwani maana vijana wa Ict naona kama ndio wahanga wa kubwa sana. Kuna muda nahisi kama mitaala yao inashida mahali.
Najua ni changamoto kubwa !lakkni kukaa home tu haisaidii . Njia nzuri ni kutafuta sehemu unayoweza kuonesha ujuzi wako. Faida ya kujitolea ni kwamba utapata new connections ,networking na hapo unaweza pata mianya mingine ya kutoboa.
Pia unaweza chagua sehemu ya kijtolea ambayo unaweza kuwa...
Hapana lengo ni kuwajulisha Graduates kuwa unapokosa nafasi ya ajira kuna namna nyingine unaweza ku generate income kwa njia tofauti. Tupo mtaani vijana wamekata tamaa kabisa . Yaani wanaamini katika ajira ya serikali .
Kuna njia nyingi ambazo kijana aliyemaliza chuo anaweza kuongeza kipato chake. Hapa chini nimeorodhesha baadhi ya njia hizo:
Kuanzisha biashara yako: Unaweza kufikiria kuanzisha biashara yako ya mtandaoni au ya nje ya mtandao. Kujenga biashara inayotumia ujuzi wako wa kielimu au hata ubunifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.