Search results

  1. M

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Mtu akibanwa vilivyo anashindwa hata kujitetea. Hoja hiyo hata darasa la kwanza hawezi itoa
  2. M

    Tundu Lissu alonga mambo mhimu na makubwa juu ya yaliyotokea Kenya

    Asante sana Tundulisu kwa kunena ukweli mtupu.
  3. M

    Mkakati madhubuti wa kuwanusuru wanafunzi waliopata mimba na kuzaa

    Hatima ya watoto wetu hasa wa kike ipo mashakani.
  4. M

    Kimkakati M/kiti wa CCM Magufuli kazidiwa na upinzani mbali

    Shida mtu akishaingia kwenye siasa anajivua kabisa ufahamu na kuweka pembeni kabisa taaluma yake ili tu kulinda posho yake. Na hii ipo Tanzania tu.
  5. M

    Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe.John Heche hali yake sio nzuri, apandishwa ndege kuwahishwa Muhimbili

    Ee Mungu uliye mganga mkuu, tunaomba uponyaji wako dhidi ya ndugu John Heche Mbunge wa Tarime. Kama kuna nia au mipango miovu juu yake basi katika Jina la Yesu Kristu wa Nazareth ishindwe kabisa.
  6. M

    Rais Magufuli alisaini msaada wa bilioni 500 wenye masharti yafuatayo...

    Masharti ya wakati wa akina Mangungo wa Msovero
  7. M

    Mahakama ya A. Mashariki Yatengua Ubunge wa wabunge wa EAC kutoka Tanzania

    Mwaka huu tutssikia mengi. Mungu mkubwa amesimamia haki ya watu wake.
  8. M

    Mkuu wa Wilaya ya Njombe amsweka ndani Mwenyekiti wa mtaa

    Huyu mwenye kiti ni mwanachama wa CHADEMA nini?
  9. M

    Matukio: Godbless Lema akipokelewa nyumbani kwake Arusha

    Hongera sana Kamanda Lema, na pole kwa yote. Mungu akusimamie
  10. M

    Waziri Mkuu aagiza kufanyika Uchunguzi juu ya miili 7 iliyokutwa mto Ruvu

    Inatisha na inahuzunisha binadamu kufanyiana mambo hayo. Waziri Nchemba atueleze ni wahamiaji haramu toka nchi gani, na je ni sheria gani inayoruhusu wahamiaji haramu kuuawa. Ni aina ile ile ya mauaji ya wanasiasa wa upinzani izima ni pamoja na Mawazo, Dr Mvungi na wengine wengi. Marehemu hao...
  11. M

    TAHARIRI: Miili Iliyopatikana Ruvu Ifukuliwe; Ben Saanane apatikane - Ni Utu Huu!

    Ni sheria ipi ya kama tafadhali inaayoruhusu wahamiaji halafu wauawe? Tunamwomba huyo waziri aieleze Tanzania na Dunia kwa ujumla. Vinginevyo hatua kali zichukuliwe dhidi yake.
  12. M

    Mwili wa Samweli Sitta wawasili JNIA

    Pumziko la milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie
  13. M

    Rais Magufuli amtembelea Mke wake na Wagonjwa wengine Waliolazwa Muhimbili

    Oh! Sorry for the illness our beloved mother. Lord God will make you get well soon.
  14. M

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Everyone complains, big people from whom we expected to get relieve also complain . So who will save us to do away with this complex situation we are facing. .
  15. M

    Lowassa autathimini mwaka mmoja baada ya uchaguzi

    Mungu naomba ibariki Tanzania na uwabariki wote wanaoiwazia mema nchi hii.
  16. M

    Msukuma amfukuzisha kazi mkuu wa shule

    Is the president satisfied with that Msukuma's act. If it is, then things are going Astray.
  17. M

    Tundu Lissu: Mambo haya ni mazito na Msikimbile kuwa na hasira, kwani hasira hasara

    Mambo haya ni mazito, tunahitaji hekima ya KiMungu kujua kama haya tunayoona yakiendelea katika nchi yetu chini ya awamu hii, ni mapenzi yake kweli au la. Na kama siyo, basi Mungu anajua nini kitajili mbele ya safari. Mungu naomba ibariki nchi yetu na utuongezee hekima yako katika kupambana na...
  18. M

    Bodi ya wadhamini CUF yamkataa rasmi Prof. Lipumba, kumshtaki mahakamani alipe gharama za Tsh 600m

    Eti Prof anashindia mihogo! Kweli madhara ya usaliti ni mabaya kweli.
Back
Top Bottom