[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni muhimu sana kuwa na ndoto. Ila usiende kuwa jobless kule. Utachanganyikiwa. Kimsingi tafuta kazi yoyote uwe unatoka jioni. Hata kama ngumu komaa.
By the way kuna kazi ya mgahawani kuhudumia chakula Makumbusho kule. Jaribu kufanya ukishindwa piga chini...
UTAPELI UNAOFANYWA NA HESLB KWA UZEMBE NA UOGA WA WAAJIRI WETU
1. Mtu ulimaliza kulipa mkopo wa elimu ya juu miaka kumi iliyopita (2012)
2. Mwaka 2023 unapata barua kutoka kwa mwajiri wako kuwa unadaiwa na HESLB utaanza kukatwa mshahara kulipa deni hilo.
3. Ukiwa bado unajadili na mwajiri...
Hao jamaa wana bidii ya kazi hakuna mfano. Kitu chochote kinachoingiza hela anafanya, na anaweza fanya hata masaa 20 kwa siku (kama wajapani). Mpe hata jiko la mishikaki tu uone bidii yake. Kitu kingine wana nidhamu ya fedha kupitiliza. Pia hawapendi kumtegemea mtu, kila mtu anataka asimame...
Atakuwa alikuja Nzovwe hizo vitu sisi tunaswaga tuu haturembi. Kuna viwanja Mwanjelwa huko Soweto na Sai vya level unazotaka. Nenda huko.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Unaweza kufulia mpaka ukatapeli. Nakumbuka kuna siku tumewahi kuazima magunia ya kuhifadhia mahindi kwa jirani yetu tukaenda kuyauza ili wiki isonge. Ila tulivopiga mishe tukanunua tukamrudishia. Mpaka leo hajui tuliazima ili tukauze. Alifikiri tumepata mazao ya kutosha mpaka magunia hayatoshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.