Search results

  1. Malupelupe

    Simulizi za ndoto toka kwa babu

    Babu yangu aliwahi kunisimulia ndoto yake kuwa,katika kisiwa cha Donge waliishi wanyama na viumbe wengine walioshirikiana sana kwa kila jambo.Mfalme wa kisiwa hicho aliiamini kuwa kila kiumbe amepewa kipqji cha kufanya jambo. Sikumoja Mfalme aliitisha mkutano mkubwa na kutaka kila kiumbe abuni...
  2. Malupelupe

    Watumishi hewa na athari katika uchumi

    Suala la watumishi hewa kuchukua muda mrefu kushughulikiwa, limesababisha watu wasio na hatia waendelee kuteseka. Kuchelewa kupanda madaraja, kutolipwa mapunjo na malimbikizo ya mishahara kwa imani kwamba wahalifu pia watapanda madaraja na kulipwa malimbikizo ni adhabu kali kwa wasio na hatia...
  3. Malupelupe

    MRADI WA UJENZI WA MAABARA NI LINI UTAKAMILIKA

    Wakuu imekaaje hii: umaliziaji wa majengo ya maabara za sayansi katika shule za sekondari nchini utakamilika lini?
  4. Malupelupe

    Wafahamu viongozi wajuzi wa kuzungumza Tanzania

    Wakuu amani iwe juu yenu, namkumbuka hayati JK Nyerere kama kiongozi aliyetokea kujifunza kiswahili na kukitumia vizuri kiasi cha kuvutia pale alipo zungumza na jamii ya wasomi na wasio wasomi.Pia alikua na uwezo wakuzungumza kwa kuzingatia mazingira,muktadha na uhusiano wake na hao anao...
Back
Top Bottom