Search results

  1. Askari wa Amani

    Flora Nducha ameolewa na nani?

    Napata wakati mgumu kushiriki JF kama mitazamo na mambo yenyewe ni haya ya umaarufu na majungu.... Tubadilike...kuna mambo mengi sana ya kujadili na kufikia maamuzi...si kujadili tuu... Tunachonga sana!!!!!!!! If i may say...
  2. Askari wa Amani

    Balali Atazikwa Au Atachomwa?

    Kinachonikwaza sio mavumbi yatarudije ardhini, kumbuka bin adam ni mavumbi na mavumbini atarejea. Iwe atachomwa, atazikwa...atarejea mavumbini. Kinikwazacho Askari wa Amani ni hiki:- Inakuwaje watu nyeti, tena wanaohusika au kuhusishwa na issue nyeti za nchi hii, hupoteza maisha katika wakati...
Back
Top Bottom