Search results

  1. A

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    Waziri wa Kilimo unaombwa kutuma tume ya kuchunguza yale yanayoendelea kwenye bodi hii huku malalamiko yanazidi kuendelea.Ingawa katibu Mkuu ndie anaepajua vizuri maana alishafika na kuongea na wafanyakazi kipindi cha nyuma. Ripoti za Bw Kumburu alizomwandikia Waziri wa Kilimo akishirikiana na...
  2. A

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    Kama Menejimenti iliyopita ilikuwa na mapungufu ingawa hakukuwa na msuguano kama ilivyo kwenye menejimenti iliyopo hebu tueleze 1. Kuuza mlango mkuu wa kengo la kuingia kahawa house na kula hele za wakulima kupitia kwenye mnachokiita GAIN ON EXCHANGE ni kipi ndio balaa kabisa.? 2.Kulikuwa...
  3. A

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    Zimamoto inaelekea wewe hujui chochote kuhusu alicho taka kukifanya huyu Kumburu kwenye bodi hiyo ndio maana unasema ni mtaaluma.Yeye Kumburu kutunga sheria zake toka kwenye kichwa chake bila kufuata kanuni na sheria zilizopo kwenye Kahawa ndio unamwita mtaaluma ? Hajui chochote zaidi ya yeye...
  4. A

    Pius Ngeze: Mfupa uliomshinda fisi waonyesha dalili za kupata mlaji...

    Taarifa toka kwenye vyanzo vyetu vya habari zinasema kuwa ule mfupa uliomshinda Fisi waonyesha dalili za kupata mlaji. Taarifa hizo zinasema kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Uchumi na Mipango,amemwandikia Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania Bw Adolph Kumburu kutaka kupata PERSONAL...
Back
Top Bottom