Search results

  1. M

    Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Uharibifu uliofanywa kwenye awamu hiyo madhara yake usitegemee yaishe haraka hivyo. Hizi tabia za kusifusifu viongozi mpaka kufikia kusema Rais katoa hela za kujenga daraja au barabara yameanzia awamu ya tano zaidi, Sasa umeona yalivyonoga Sasa? Kauli za kutishia kupoteza watu zilipandwa awamu...
  2. M

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Makonda ana mvuto kwa wajinga zaidi. Siasa siyo makelele na vitisho vya kuwafanya watu kama mazuzu. Mtu anayeshawishi watu wasiende mahakamani,eti mahakama ni za matajiri,na huyohuyo ndiye chama chake kimeshika serikali,ameshindwa nini kuhamasisha mabadiliko ya kimfumo kupitia kwenye vikao...
  3. M

    Utovu wa nidhamu alioulea mwenyewe umemgeukia Lema. Hii ni aibu kwa chama kikuu cha upinzani

    Sasa huo ndio kuonyesha chama kiko hai. Kwani maneno aliyosema Ndugai yangeleta madhara gani,kama yangepingwa kwa hoja zilizoshiba na akabakia kuwa spika? Huko Marekani wanaomkosoa Biden au Trump unafikiri wote ni wapinzani!! Ni uhuru wa mawazo na ndicho kitu muhimu sana kwenye nchi yoyote.
  4. M

    Kama Kazi ya Uenezi imemshinda Paul Christian Makonda nani ataiweza?

    Wewe huna kibali machoni pa Mungu!! Mafanikio mnayoyataja ya Makonda ni kuita watu kusikiliza kero zao na kuwaambia wasijaribu mahakamani,huko ni kwa ya wenye pesa tu!! Ccm imeunda serikali yenyewe pamoja na mahakama na jeshi la polisi. Vyombo hivi ndivyo vinalalamikiwa sana, na ukiangalia...
  5. M

    Dotto Biteko: Tumezima mtambo wa bwawa la Mwl Nyerere

    Kinachoshangaza hilo bwawa halina level indicator na hakuna drainage systems ( pumps) za kutoa maji yanayozidi? Mbona inatia shaka kwamba kwa kuwa Chadema walisema halitajaa, wakaamini na leo bila aibu unatangaza ni sababu ya Chadema??? Wangesema litajaa kwa wiki moja??
  6. M

    Safari ya Prof. Ndalichako katika utumishi, siyo chawa wa wanasiasa amejikita kiutendaji zaidi

    Ukishakubali uwaziri tu, umekuwa mwanasiasa tayari,mambo ya utaalam unaweka pembeni.
  7. M

    Arusha wajipanga kumpokea RC Makonda

    Ni jambo jema sana, mwenzio yakimpata magumu kumfariji. Japo mtakuwa mnaonyesha ubaguzi,kwa kiasi fulani, mbona mlitelekeza Mh. Chongolo maana alitokea hukohuko! Anyway yamepita, kila la heri
  8. M

    Paul Makonda anakwenda kulifanya Jiji la Arusha kuwa maarufu kuipita Washington DC Marekani au Dubai

    Aliiacha Dar ikiwa kama????? Wewe jamaa nadhani unahitaji msaada wa kiakili.
  9. M

    Hongera Lema kwa kuiacha familia yako Canada maana Arusha sasa iko moto

    Makonda amepata demotion misitafute kujifariji. Kwamba tishio kubwa la ccm ni Lema!!! Kaondolewa kiaina tu kumpunguzia aibu. Nafasi ya katibu muenezi Taifa ni kubwa sana, angekuwa vizuri angeisaidia ccm kitaifa siyo kamkoa kamoja. Ukute na app za kina Mange zimechangia. Kama kumkabili Lema mpaka...
  10. M

    Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Sasa hapo mnajichanganya, alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma. Sasa mbona kwenye majibu ya huyo Mfalme kwenye suala la msikiti hakusema alishaambiwa na Kikwete na analijua! Lakini la ajabu ni kweli kwa wingi wa...
  11. M

    Landmark za Hayati Magufuli zinazowatesa wale jamaa ambao hawakuacha chochote

    Umesema kweli kabisa. Hizo legacy alizoziacha kulingana na rekodi ya tume ya uchaguzi kwenye uchaguzi mkuu 2015,ndio maeneo yaliyoipigia kura nyingi ccm ukiacha Dar ambako japo hawakumpa kura nyingi hakuwa na chaguo,ndilo mkoa unaotegemewa na hazina ya taifa kiuchumi huwezi kukwepa kuwekeza...
  12. M

    Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Ni mpagani pekee anayefikiri na kuamini amani tuliyonayo inatokana na ccm. Bila Mungu nchi hii amani isahau. Waliotaka kupindisha katiba ili Samia asiwe Rais,walikuwa wa chama Gani? Ulimsikiliza vizuri Gen. Mabeyo wewe!! Rais Kikwete anewahi tamka wanaccm huwezi kutoka ukaacha glass Yako ya...
  13. M

    Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

    Wasafi lini mtamuita.Lis Ajabu hamuulizi kwa nini wasafi hawamuita Lisu mpaka leo!! Hivi vyombo vya habari ambavyo vingi ni mateka wa ccm, nini utaamini kutoka kwao? Kama maandamano ya Chadema ambayo yaliruhusiwa na serikali hata TBC chombo cha umma hakikuonyesha hamshangai na hamlalamiki...
  14. M

    Jokate Mwegelo: Bila Rais Samia kuwa na falsafa ya 4R katika uongozi wake, kuna watu wasingekuwa na jeuri ya kuandamana

    Kuna msemo unasema,PATA cheo/ fedha tujue tabia Yako au kosa pesa tujue kipaji chako. Huyu dada ameibuliwa na JPM ambaye hakuwa na tabia ya kuheshimu katiba. Anasahau hiyohiyo katiba anayoidharau ndivyo imempa huyo mama yake urais pamoja na dharau zao. Samia ni mwanadamu,japo imewahi kutokea...
  15. M

    Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Kwa hiyo Mbowe muda wote amekuwa Rais sawa na hao uliowataja? Mandera alikaa jela na aliendelea kuwa kiongozi wa ANC, Nyerere aliongoza Taa na ikabadilika kuwa Tanu na bàadaye ccm huko hamshangai. Ccm ipo madarakani miaka 60 Toka uhuru linganisha na Singapore iliyopata uhuru 1965 mahali ilipo...
  16. M

    Maandamano ya CHADEMA ni ishara tosha ya kukata tamaa ya wao kuchukua dola

    Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana. Period.
  17. M

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    Halafu cha ajabu hata wewe sina hakika kama una akili timamu. Hatuchagui chama kwa sababu ya mahaba kama Yako, ambayo hata wenzio wanatilia shaka uwezo wako wa kufikifiri, ndio sababu unebakia wewe tu kudaka kila kinachotupwa humu. Tunachagua chama kitakachoondoa kero za kijinga ambazo ziko...
  18. M

    Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Marekani yenyewe tangu imeanza kujitawala, Marais wakatoliki ni huyu Biden ndo wa pili,wa kwanza ni yule aliyeuawa JF Kennedy ndo alikuwa wa Rais mkatoliki wa kwanza. Sasa sijui labda wanatamba zaidi Africa, south America na nchi chache za Ulaya na pengine nchi kubwa zaidi ni France.
  19. M

    Mambo 10 aliyofanyiwa Hayati Lowassa baada ya kuhamia CHADEMA

    Nakumbuka kwenye moja ya kauli zake aliwahi kusema mwenye ushahidi wa yeye kuhusika na ufisadi apeleke mahakamani, tena wengi tulijua nafasi nzuri ya kumshtaki ni pale alipohama ccm, ajabu na wao wakagwaya. Rais na viongozi wa ccm walibakia kumtukana tu. Wakati wa kashfa ya Richmond,kina...
  20. M

    CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

    Maslai au maslahi? Halafu unajiita mwenye akili.
Back
Top Bottom