Search results

  1. A

    Kinara vurugu za kidini huyu hapa

    Kwa mtazamo wangu,serikali inapaswa kukaa na pande mbili yaani Waislam na wakristo na kuzijadili hoja au kero za pande zote mbili kwa pamoja. Haya matukio ya mauaji yanayotokea inaweza kuwa ni moja katika athari za kero hizo au ikawa ni sababu mojawapo kwani sababu hasa bado haijafahamika...
  2. A

  3. A

    Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    Kuwa mkweli wa maneno na vitendo!
  4. A

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Democracy999 hapa ni uwanja wa hoja na si porojo!suala la kuwa mkimbizi hatulikatai lakini lete ithibati na si maneno matupu tu!
  5. A

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Kaka TUKUTUKU nikukongole lakini wajua maana ya UGAIDI au GAIDI?
  6. A

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Wadau nasikia sheikh Farid wa UAMSHO ametekwa nyara na pia Sheikh maarufu Mombasa pia katiwa nguvuni!haya ni ya kweli??
  7. A

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Good!Nadhani tusubiri sheria tuone mambo yatakavyokuwa!Ni mapema sana kuzungumzia chochote juu ya kadhia hii!!
  8. A

    Sheikh ponda issa ponda atiwa nguvuni

    Wana JF nimesikia kuwa Shehe Ponda na Shehe Farid wa Uamsho kule Zenji wametiwa nguvuni ni kweli?
Back
Top Bottom