Search results

  1. G

    Hillary Clinton Admits the U.S. Government Created al-Qaeda

    Hiyo staili wanayoitumia hawa wamarekani inatwa balance of power huwezi kutawala sehemu yoyote ile pasipo kuwavueruga kwa njia yoyote ile wale uliotarajia kuwa tawala kwa nchi za kiarbu udhaifu wao ni dini, afrika sisi ni njaa, maradhi, elimu na umasikini wenzetu wazungu wao ni power pamoja a...
  2. G

    Hatimaye china yapata meli kivita ya kubeba ndege

    Jamani mmesahau kitu kimoja huo ubishi wetu au uelewa wenu kuhusiana na Marekani na china, ukiirudi nyuma miaka ya 1950s pale Mchina alipoomba teknolojia ya nyuklia mwamerika alimmyima lakini wachina walikaa chini na kutafakari wataiotoa wapi hiyo teknolojia, kwa uhodari wa kiongozi wa wakati...
Back
Top Bottom