Search results

  1. M

    Sioni umuhimu mkoa wa Shinyanga kumiliki ofisi mbili za NSSF zenye hadhi ya mkoa hayo ni matumizi mabovu ya fedha

    Katika pitapita zangu naelekea Kigoma nimefika Kahama nikakuta jengo la ghorofa tano la NSSF ambalo linafanya kazi hadhi ya mkoa nikadhani kwamba office hizo mkoa mzima huwa wanaenda hapo Baada ya kuwauliza wenyeji wakasema hapana Shinyanga Mjini pia kuna office nazo ni hadhi ya mkoa pia na wao...
Back
Top Bottom