Habari wakuu tafadhali naomba kujua kwa mwenye uelewa wa taratibu na gharama za kutembelea mbuga ya wanyama ya serengeti, nafikiria kutembelea serengeti mwezi desemba nikiwa na familia yangu na gari binafsi naomba kujua taratibu zote pamoja na gharama ikiwa ni pamoja na accomodation, naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.