Jamani nina swali. Hivi mwanamke kupenda kukaa na mme wake mda mwingi ni kuonyesha upendo au ni wivu wa mapenzi...wengine hawataki kuona unatoa mguu nyumbani ananuna kama nini .... akiona number kike kwenye sm shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.