Search results

  1. J

    naomba kujua wadau

    nina mdogo wangu ambaye kahitimu kidato cha nne mwaka jana na alikuwa anasoma masomo ya art kapata kama ifuatavyo kiwahili C biosD history D geography D english D civics E mathe F anaweza akaenda chuo gani ambacho ni kizuri?
Back
Top Bottom