Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri
Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia
Nadhani huu ni...
Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav?
Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
Askofu Dr Shoo amewaomba Msamaha Waumini wa KKKT na Watanzania Wote aliowakosea na kuwakwaza kutokana na misimamo yake wakati akiwa Mkuu wa KKKT
Hata hivyo askofu Dr Shoo hakuweka wazi Misimamo...
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo:
1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
PUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA KWA PROGRAM MAALUMU
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
FAHAMU NAMNA FOREVER C9 INAFANYA KUPUNGUZA UZITO.
🎯 Forever C9 ni program ya awali kabisa ya kudhibiti uzito...
Mchezaji wa Azam FC Feisal Salum amekimbia uvaaji wa medali za mshindi wa pili Kombe la Shirikisho baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penati dhidi ya Yanga.
Feisal alionesha ishara ya...
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.
Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 19,000/= kuanzia 3
Tunapatikana tabata kinyerezi(Biashara ya Mtandaoni), tunafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.