Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu. Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu...
3 Reactions
17 Replies
452 Views
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex. Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
34 Reactions
718 Replies
38K Views
French President Macron to announce: "Europe is at war with Russia" on June 6 JUNE 02, 2024 June 6 will be a landmark day for the whole of Europe. France will officially make the first...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic, Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina. Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto. Baadhi walifanikiwa kuingia...
28 Reactions
263 Replies
10K Views
Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa...
1 Reactions
29 Replies
314 Views
Watoto wengi waliozaliwa kuanzia miaka ya 2000 (millennials) wengi wao hawana nafsi ni kama Bots tuu. Maisha yao ni vanity and greedy hawana uwezo wa kuchambua hoja au uwelewa wa kuwa na malengo...
8 Reactions
28 Replies
355 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,677
Posts
49,783,424
Back
Top Bottom